Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

for now that is where you belong, ukikua ntakujuza zaidi

19 year from now when you are approaching 40 i will share or probably utakua umeshajua... inshallah

May i sepa this Q&A for now my cute little daughter?

Hehehe I can't wait to prove you wrong, tuombe Mungu tu atujalie uzima.

And , yes.You are off the hook. . . . for now.
 
mwanaume anaweza akapika na kuwa romantic lakini hafanyi mambo ya msingi. Mfano mmepanga, watoto hawana ada, tabia ndani vururuvururu.

Nadhani mie nahitaji a man in a man's body na sio a woman in a man's body.
Gimme this man anyday of the year!
Si bora huyu kuliko mwenye kujifanya anawajibika ada na mengine lakini mkorofi hana mapenzi.
 
Hehehe I can't wait to prove you wrong, tuombe Mungu tu atujalie uzima.

And , yes.You are off the hook. . . . for now.

well, will be past 60 by then and dont hesitate to PM me on your 39th burthday
 
Ndio ivo na the more unampa mwanamke the more she demands vitu vingine kwa hiyo lazima ujue capacity yako na nini cha muhimu kwa mkeo kwa wakati gani.

Hawa mabinti wataelewa tu, its a matter of time and experience. Hata sie tulitoka huko.

Unamuona kabisa baba watoto anapiga mechi ya mchangani lakini unajidai huoni to make life go easily.
Naamini kuna vitu ambavyo mwanamme akifanya am happy lakini kupika na kuosha watoto is not a priority to me. Anyway tuna idea tofauti ya marriage kutokana na bckground zetu.

me penda hii post
 
Ukorofi mkubwa wa mwanamme kwa mkewe ni kumnyima chakula ya usiku. Kama chakula ya usiku ipo kama kawa na kwa kiwango husika, watoto wanasoma, basic needs za familia zinapatikana sioni tatizo mapungufu mengine kila mtu anayo

Gimme this man anyday of the year!
Si bora huyu kuliko mwenye kujifanya anawajibika ada na mengine lakini mkorofi hana mapenzi.
 
Hewaaaa!!
Hapo umenikumbusha mates wangu kutoka Uganda na Ethiopia aisee.... wanaume wazima walikuwa hawajawahi kupika maishani mwao.Mwanzoni walijitutumua kula hotelini......
walipozoea wakaona pesa inavyoyeyuka kwa spidi....wakaanza kwenda marikiti kununua vyakula vya kupika.
Bwana wee..kweli walijua kushop.........kupika ilikuwa zero.Mbona walikoma kuringa!Wakawa wanawaonea gere wanaume wenzao wanaojua kupika.Wakaanza kujipendekeza kwa wasichana ili tu wakaribishwe msosi.
 
aina gani ya mama... ungetoa na sifa za mama kwanza
 
Ukorofi mkubwa wa mwanamme kwa mkewe ni kumnyima chakula ya usiku. Kama chakula ya usiku ipo kama kawa na kwa kiwango husika, watoto wanasoma, basic needs za familia zinapatikana sioni tatizo mapungufu mengine kila mtu anayo

Ina maana mwanaume ananyima mke au mke ananyima mume?
Nijuzeni vizuri apo.
 
Mwanamme anamnyima mwanamke hata mwaka au anapita rasha rasha, hujawahi sikia?
Hapo ndo unamskia mwanamke analalamika, huyu mkorofi huyu mkorofi, akiulizwa kafanyaje hasemi anajibu tu mkorofi sana

Ina maana mwanaume ananyima mke au mke ananyima mume?
Nijuzeni vizuri apo.
 
Tabia ya mtu mke au mume inatokana na malezi ya familia kwa asilimia kubwa. Kwa kuwa familia zetu za kiswahili malezi kaachiwa mama, basi mama strong atalea familia iliyo bora, iwe watoto wa kike au wa kiume.
Wale akina mama wa "subiri babako akija utaona" hawatoi watoto wazuri kitabia
 
Mwanamme anamnyima mwanamke hata mwaka au anapita rasha rasha, hujawahi sikia?
Hapo ndo unamskia mwanamke analalamika, huyu mkorofi huyu mkorofi, akiulizwa kafanyaje hasemi anajibu tu mkorofi sana

Sasa huyu mwanaume akisaidiwa bado atalalama?
Namtaka wa kihivyo!

The way I see it ni kuwa kulelewa na mama kwa karibu (kuzuri siyo kuharibiwa) kunampa kijana sensitivity ya aina fulani ya mahitaji, feelings na mahitaji ya watu wengine. Mtu wa namna hiyo anaweza kabisa kuwa anajali to a fault. Na watu kama hao wanatengeneza balance ya ajabu sana. Ubaya wake pia ni kuwa kwa vile wanaweza kuwa very sensitive they can easily win mioyo ya wanawake na ndio unaweza kuona wanakuwa players. Hadi mtu huyo ajitambue vizuri na kutengeneza balance basi anaweza kupata shida kidogo ukubwani. Lakini mwanamke ambaye anakuwa na huyo mtu atafurahi kuanzia sebuleni, jikoni hadi..... !
 
That means I am a player?
 
Hapa nakubaliana nawe 100/100
 
Tema mate yasikupate, tena usilogwe jangwani.
Nje kuna raha kama ndani kumetulia, huko huwa kwa kujazilizia tu.

Home kama hakukaliki hakuna kutakako kalika, hata huyo msaidizi utamfukuza

Sasa huyu mwanaume akisaidiwa bado atalalama?
Namtaka wa kihivyo!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…