Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Usipotoshe mantiki ya mada DC....
Hebu soma tena swali..
Mada imeanza na statement kisha ikauliza swali 'kweli"?

Mbona kwenye heading ya mada tumeshotoka Tausi,

Maelezo mliyotoa na hadi tulipofika...conclusion yenu ni inasema kuwa ni "KWELI" au unabisha sasa???
 
Ushawai sikia kuna wanaume ata akisimamishwa kazi hamwambii mkewe. Kichwani mwake anaamini hata akimwambia mkewe ni mwanamke tu hana atakachomsaidia?? Akiombwa ela anakuwa mbogo, kumbe hana. Kwa wanaume design hii uanamume ni kuweka siri matatizo yake. Familia inakuja sikia bombani kuwa mme kazi kwishney.

Na kuna wanaume wale ambao ni opposite. Akipata shida yoyote anakimbilia kwa wife kumwambia.

Nani kati ya hao wawili ni mume mzuri??? Sasa hiyo hutokana na malezi pia; kulelewa kuwa kuwa open na feelings zako hakukufanyi kuwa wewe si mwanaume.
 
Hehehe. . .
Well nashindwa kukubaliana na wewe kwasababu hao wanaume wanaodeka sio kama wanadeka kila mahali, kila wakati na kwa kila mtu. Wakiwa nje, kwenye shughuli zao wanafanya kazi wanayotakiwa kufanya nasio wanakaa nyuma ya dawati na kudeka.Then akirudi kwa mkewe anadeka kwasababu ni haki yake, hana haja ya kua firm na mkewe 24/7. . .unless he has control issues.

Hata wewe unaeonyesha kukataa hii hali sidhani kama unapokuaga na bibi nyumbani hua unamkoromea tu muda wote au uso umekunja kama vile unameza klorokwini.Sidhani mnapokua chumbani unamwagiza tu bila kumpa nafasi ya yeye kukufanyia atakavyo.

All in all kuna aina nyingi za kudeka.
Hata kukaa mezani na kusubiria mpaka mikono unawishwe ni kudeka kwa aina yake. Kinachotofautiana ni kiasi tu na namna.

Ni zipi hizo.....???

Umenirahishia kazi ya kumweleza DC..
DC anatuchora tu hapa.Sitaki kuamini ati hajui kudeka na kumbembelezwa.

Naona mnachoongelea nyie ni kubembeleza/zwa...which is not bad mnapokuwa wawili kule ikulu....

Ila bado hamjanipa picha halisi ya kudekezwa!! Please do the needful!!
 
and you think you have got the right to know everything huh?

Don't I??

Since umesema hamna hata mmoja (that includes me me ) ningependa kujua madai yako yanatokana na nini.
 
Ni zipi hizo.....???

Naona mnachoongelea nyie ni kubembeleza/zwa...which is not bad mnapokuwa wawili kule ikulu....

Ila bado hamjanipa picha halisi ya kudekezwa!! Please do the needful!!

Juu na chini ya hiyo sentensi uliyohighlight ndipo majibu yalipo.

Kuhusu kubembelezwa. . . huwezi kubembelezwa/bembelezeka kama hudeki.
 
Teh teh teh....hawa nao huwa hawaeleweki. Sasa sijui wanataka wanaume wenye hulka za kiume au wanaume wenye hulka za kike. Wanajua wao wenyewe wanachokitaka...

Kweli kabisa,

Ni vigumu kuwajua hawa ndugu zetu! Tatizo ni kwamba nao hawatujui.....!!
 
Ushawai sikia kuna wanaume ata akisimamishwa kazi hamwambii mkewe. Kichwani mwake anaamini hata akimwambia mkewe ni mwanamke tu hana atakachomsaidia?? Akiombwa ela anakuwa mbogo, kumbe hana. Kwa wanaume design hii uanamume ni kuweka siri matatizo yake. Familia inakuja sikia bombani kuwa mme kazi kwishney.

Huo ni ujinga.

Na kuna wanaume wale ambao ni opposite. Akipata shida yoyote anakimbilia kwa wife kumwambia.

Mke ndiyo mwenza katika maisha. Usipomwambia mke ukamwambie nani sasa? Kama huwezi kuwasiliana na mkeo ni heri hata usingeoa kabisa.

Nani kati ya hao wawili ni mume mzuri??? Sasa hiyo hutokana na malezi pia; kulelewa kuwa kuwa open na feelings zako hakukufanyi kuwa wewe si mwanaume.

Mume mzuri ni yule aliye muwazi kwa mwenza wake.
 
mwanaume anaweza akapika na kuwa romantic lakini hafanyi mambo ya msingi. Mfano mmepanga, watoto hawana ada, tabia ndani vururuvururu.

Nadhani mie nahitaji a man in a man's body na sio a woman in a man's body.

Asikwambie mtu mwanaume anayejua kupika anakuwa more romantic kuliko asojua. Kuna wakati anakwambia darling tulia leo mi ndo sterling hapa jikoni. Mungu akupe nini donda ndugu???
 
Binafsi nadhani mwanaume kujua kupika katika zama hizi is a PLUS!!
Mwanaume kama hujui kupika mbona unaweza kujikuta katika hali mbaya pale huyo mkeo hayupo.

Yap hiyo ni kweli...., nakumbuka nilifundishwa kupika na mama yangu, then ikaja kunisaidia nilipoenda kusoma nje ya nchi. Nilikuwa napika mwenyewe coz vyakula vya chuoni havikuwa vizuri,licha ya hivyo nyama iliyokuwa ikitumika sana ni kitimoto, ambacho kwa imani yangu. huwa sili.
Na hadi leo hii najiamni saana kuwa hata kama siku mtarajiwa wangu akiwa anaumwa, haina haja ya kununua viepe, ni mwendo wa kushika mwiko tu...!
 
Kudos for that. . .
Acha wanaoogopa jiko waendelee kudhihirisha kutokujiamini na uanaume wao.
 
haswaa, ndo maana unaambiwa mpende mkeo na usijaribu kumwelewa hata yeye mwenyewe hajielewi.
Ila mwanamke anatakiwa amuelewe mmewe na kumpenda kiasi kidogo maana wanamme wanamambo yao ambayo huwezi yaelezea.
kwa tuliooa miaka mingi na tuliofundishwa na wakubwa tunaelewa hilo, ila vitoto vikianza kutaka kujua sana huwa tunaishia kuvipa link zinazoendana na age zao

i learnt this sentence or fact in 1997 wakati natangaza ndoa na mzee alinitoa tukadrive hadi arusha njia nzima alinipa lecture nikaelewa anasema nini

since then, sihangaiki kujua wanataka nini bali nahangaikia kujua nimpe nini
 
Mbona kwenye heading ya mada tumeshotoka Tausi,

Maelezo mliyotoa na hadi tulipofika...conclusion yenu ni inasema kuwa ni "KWELI" au unabisha sasa???

Kwenye adult learning hakuna jibu la hapana au ndio.Inategemea hoja.Unaweza sema ni KWELI ukajenga hoja zako na ukasema si kweli ukajenga hoja zako na wote mkawa mko sawa.Ndicho tunachofanya hapa.
DC kwa changabaridi lol I cant you!
 
Ohh. .
So one bachelor's view point is what you got to support your argument?I read the whole thing and I'd be lying if I didn't admit my dissapointment.
Thanks anyway. . .
for now that is where you belong, ukikua ntakujuza zaidi

19 year from now when you are approaching 40 i will share or probably utakua umeshajua... inshallah

May i sepa this Q&A for now my cute little daughter?
 
Back
Top Bottom