Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I meant what i said.... no one
And how did you figure that out?
Usipotoshe mantiki ya mada DC....
Hebu soma tena swali..
Mada imeanza na statement kisha ikauliza swali 'kweli"?
Hehehe. . .
Well nashindwa kukubaliana na wewe kwasababu hao wanaume wanaodeka sio kama wanadeka kila mahali, kila wakati na kwa kila mtu. Wakiwa nje, kwenye shughuli zao wanafanya kazi wanayotakiwa kufanya nasio wanakaa nyuma ya dawati na kudeka.Then akirudi kwa mkewe anadeka kwasababu ni haki yake, hana haja ya kua firm na mkewe 24/7. . .unless he has control issues.
Hata wewe unaeonyesha kukataa hii hali sidhani kama unapokuaga na bibi nyumbani hua unamkoromea tu muda wote au uso umekunja kama vile unameza klorokwini.Sidhani mnapokua chumbani unamwagiza tu bila kumpa nafasi ya yeye kukufanyia atakavyo.
All in all kuna aina nyingi za kudeka.
Hata kukaa mezani na kusubiria mpaka mikono unawishwe ni kudeka kwa aina yake. Kinachotofautiana ni kiasi tu na namna.
Umenirahishia kazi ya kumweleza DC..
DC anatuchora tu hapa.Sitaki kuamini ati hajui kudeka na kumbembelezwa.
and you think you have got the right to know everything huh?
Don't I??
Since umesema hamna hata mmoja (that includes me me ) ningependa kujua madai yako yanatokana na nini.
Ni zipi hizo.....???
Naona mnachoongelea nyie ni kubembeleza/zwa...which is not bad mnapokuwa wawili kule ikulu....
Ila bado hamjanipa picha halisi ya kudekezwa!! Please do the needful!!
Teh teh teh....hawa nao huwa hawaeleweki. Sasa sijui wanataka wanaume wenye hulka za kiume au wanaume wenye hulka za kike. Wanajua wao wenyewe wanachokitaka...
Ushawai sikia kuna wanaume ata akisimamishwa kazi hamwambii mkewe. Kichwani mwake anaamini hata akimwambia mkewe ni mwanamke tu hana atakachomsaidia?? Akiombwa ela anakuwa mbogo, kumbe hana. Kwa wanaume design hii uanamume ni kuweka siri matatizo yake. Familia inakuja sikia bombani kuwa mme kazi kwishney.
Na kuna wanaume wale ambao ni opposite. Akipata shida yoyote anakimbilia kwa wife kumwambia.
Nani kati ya hao wawili ni mume mzuri??? Sasa hiyo hutokana na malezi pia; kulelewa kuwa kuwa open na feelings zako hakukufanyi kuwa wewe si mwanaume.
Asikwambie mtu mwanaume anayejua kupika anakuwa more romantic kuliko asojua. Kuna wakati anakwambia darling tulia leo mi ndo sterling hapa jikoni. Mungu akupe nini donda ndugu???
Binafsi nadhani mwanaume kujua kupika katika zama hizi is a PLUS!!
Mwanaume kama hujui kupika mbona unaweza kujikuta katika hali mbaya pale huyo mkeo hayupo.
Yap hiyo ni kweli...., nakumbuka nilifundishwa kupika na mama yangu, then ikaja kunisaidia nilipoenda kusoma nje ya nchi. Nilikuwa napika mwenyewe coz vyakula vya chuoni havikuwa vizuri,licha ya hivyo nyama iliyokuwa ikitumika sana ni kitimoto, ambacho kwa imani yangu. huwa sili.
Na hadi leo hii najiamni saana kuwa hata kama siku mtarajiwa wangu akiwa anaumwa, haina haja ya kununua viepe, ni mwendo wa kushika mwiko tu...!
kwa tuliooa miaka mingi na tuliofundishwa na wakubwa tunaelewa hilo, ila vitoto vikianza kutaka kujua sana huwa tunaishia kuvipa link zinazoendana na age zaohaswaa, ndo maana unaambiwa mpende mkeo na usijaribu kumwelewa hata yeye mwenyewe hajielewi.
Ila mwanamke anatakiwa amuelewe mmewe na kumpenda kiasi kidogo maana wanamme wanamambo yao ambayo huwezi yaelezea.
Mbona kwenye heading ya mada tumeshotoka Tausi,
Maelezo mliyotoa na hadi tulipofika...conclusion yenu ni inasema kuwa ni "KWELI" au unabisha sasa???
for now that is where you belong, ukikua ntakujuza zaidiOhh. .
So one bachelor's view point is what you got to support your argument?I read the whole thing and I'd be lying if I didn't admit my dissapointment.
Thanks anyway. . .