Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Simply put, siyajui...Ndiyo yapi?

Ya midume kulia lia na kutaka kudekezwa kama mitoto inayoumwa matumbo!!

Basi tuyaachie hapo maana itahitaji somo la ziada kukufahamisha.
Yatosha tu kusema kudekezwa siyo kulialia wala siyo kujigalagaza.
Pia siyo kulegea kama mlenda...wanaofahamu utaona wameshafahamu.

I see nothing wrong with that. If you are loved consider yourself fortunate. Only the dumb and stupid would consider affection as spoiling.
Thanks Broda NN,
Nakupa sitting/standing ovation popote ulipo.
 
Basi tuyaachie hapo maana itahitaji somo la ziada kukufahamisha.
Yatosha tu kusema kudekezwa siyo kulialia wala siyo kujigalagaza.
Pia siyo kulegea kama mlenda...wanaofahamu utaona wameshafahamu.

Kanyaga twende Tausi,

Kudeka ndo kufanyaje???

Mie nimetoa definition yangu!!
 
Kanyaga twende Tausi,

Kudeka ndo kufanyaje???

Mie nimetoa definition yangu!!
Kwa kifupi sana DC,
Kudeka tunakozungumzia hapa ni kule "kuitikia kihisia" bila kujali kuna mtu "anakuona" au "kukusikia".
Figure out for urself kaka.
 
Mzazi yeyote mwenye mapenzi ya kweli na mwanae au wanae basi atawafunza basic life skills. Mimi baba yangu ananipenda sana. Na mimi ninampenda kuliko hata ninavyojipenda mwenyewe. Mimi na yeye tunapendana sana. Amejitoa maisha yake yote kwa ajili yangu mimi. Kanifunza mengi mno kuhusu maisha. Legacy kubwa ambayo ataniachia hapa duniani siku atakapoondoka milele ni funzo la kuwa na bidii katika maisha na kufanya kila niwezalo kujitegemea mwenyewe ili kutokuwa mzigo kwa wengine.

Ila pia wakati niko mdogo alinipatia karibu kila kitu nilichohitaji na kutaka. Sasa sijui na mimi nadeka au sijui nilidekezwa. Ila kama kudekezwa ni kupendwa na mzazi au wazazi wako basi I wear it as a badge of honor. Kuna watu wengi mno ambao wanatamani walau wapendwe na mtu hata mmoja – fikiria mayatima walio na umri mdogo.
 
Hapana dada...Naona bado umeiweka kifilosofia zaidi...Hebu tusaidie zaidi hata sie akina kanumba tuelewe!

Unaweza kutuwekea na mifano???

I now miss Mbu with his pictorial stuff!!
 
Mdogo wangu Lizy,

Kwangu mimi kudeka ni kukaa hapo tu na kulia lia au kucheka cheka badala ya kuwa firm...kuwa kama mrenda mrenda!!

Kwa ufupi (in real life) sina hakika kama kuna mwanamume atafurahi kusikia unamwelezea kuwa anapenda kudeka!!!

Hehehe. . .
Well nashindwa kukubaliana na wewe kwasababu hao wanaume wanaodeka sio kama wanadeka kila mahali, kila wakati na kwa kila mtu. Wakiwa nje, kwenye shughuli zao wanafanya kazi wanayotakiwa kufanya nasio wanakaa nyuma ya dawati na kudeka.Then akirudi kwa mkewe anadeka kwasababu ni haki yake, hana haja ya kua firm na mkewe 24/7. . .unless he has control issues.

Hata wewe unaeonyesha kukataa hii hali sidhani kama unapokuaga na bibi nyumbani hua unamkoromea tu muda wote au uso umekunja kama vile unameza klorokwini.Sidhani mnapokua chumbani unamwagiza tu bila kumpa nafasi ya yeye kukufanyia atakavyo.

All in all kuna aina nyingi za kudeka.
Hata kukaa mezani na kusubiria mpaka mikono unawishwe ni kudeka kwa aina yake. Kinachotofautiana ni kiasi tu na namna.
 
Umenirahishia kazi ya kumweleza DC..
DC anatuchora tu hapa.Sitaki kuamini ati hajui kudeka na kumbembelezwa.
 
Mzazi yeyote mwenye mapenzi ya kweli na mwanae au wanae basi atawafunza basic life skills. Mimi baba yangu ananipenda sana. Na mimi ninampenda kuliko hata ninavyojipenda mwenyewe. Mimi na yeye tunapendana sana. Amejitoa maisha yake yote kwa ajili yangu mimi. Kanifunza mengi mno kuhusu maisha. Legacy kubwa ambayo ataniachia hapa duniani siku atakapoondoka milele ni funzo la kuwa na bidii katika maisha na kufanya kila niwezalo kujitegemea mwenyewe ili kutokuwa mzigo kwa wengine.

Ila pia wakati niko mdogo alinipatia karibu kila kitu nilichohitaji na kutaka. Sasa sijui na mimi nadeka au sijui nilidekezwa. Ila kama kudekezwa ni kupendwa na mzazi au wazazi wako basi I wear it as a badge of honor. Kuna watu wengi mno ambao wanatamani walau wapendwe na mtu hata mmoja – fikiria mayatima walio na umri mdogo.

Kwa mujibu wa hii thread, wewe unaweza kuwa hauko kati ya wale ambao wale wadada wanawataka...Wanalotaka kusikia ni kwamba umelelewa na mama...I am sure, nothing else!!
 
Babu that's where you are wrong.
The issue is not who the guy was raised by ,but how he turned out.
 
Kwa mujibu wa hii thread, wewe unaweza kuwa hauko kati ya wale ambao wale wadada wanawataka...Wanalotaka kusikia ni kwamba umelelewa na mama...I am sure, nothing else!!

Teh teh teh....hawa nao huwa hawaeleweki. Sasa sijui wanataka wanaume wenye hulka za kiume au wanaume wenye hulka za kike. Wanajua wao wenyewe wanachokitaka...
 
Usipotoshe mantiki ya mada DC....
Hebu soma tena swali..
Mada imeanza na statement kisha ikauliza swali 'kweli"?
 
Hilo ndilo nimelipinga muda wote,

Unawezaje kuongea statement inayokomba kila mtu bila data za kutosha...Hii ni hatari sana tena kwenye jamii ambazo uelewa watu uko chini kama zetu!
Kamanda nikiwa kama pensioner, nikishaona hali inakua tete, basi ku-retire mapemaaaaaaaaaaa

ngoja nikacheki Uzo hapo 4th street niue stimu kidogo
 
Teh teh teh....hawa nao huwa hawaeleweki. Sasa sijui wanataka wanaume wenye hulka za kiume au wanaume wenye hulka za kike. Wanajua wao wenyewe wanachokitaka...

No one in this world anajua a woman anataka nini - "i love bad boys" remember this quote??
 
Kasome tena swali.
Tungekuwa elementary school tungesema "kweli"? au "si kweli' - jibu lingekuwa baina ya hayo mawili na mchezo ungeishia hapo.
Maadm hapa ni jamvi lenye kujumuisha watu wengi wenye kuweza kujadili kwa marefu na mapana, basi nadhani kuhitimisha kama alivyofanya DC na kuku convince nawe uhitimishe hivi si sahihi...

No one in this world anajua a woman anataka nini - "i love bad boys" remember this quote??

What do you mean "NO ONE in this world knows what women want" ???

Some women do know what they want and so do some men.
 
Mzazi yeyote mwenye mapenzi ya kweli na mwanae au wanae basi atawafunza basic life skills. Mimi baba yangu ananipenda sana. Na mimi ninampenda kuliko hata ninavyojipenda mwenyewe. Mimi na yeye tunapendana sana. Amejitoa maisha yake yote kwa ajili yangu mimi. Kanifunza mengi mno kuhusu maisha. Legacy kubwa ambayo ataniachia hapa duniani siku atakapoondoka milele ni funzo la kuwa na bidii katika maisha na kufanya kila niwezalo kujitegemea mwenyewe ili kutokuwa mzigo kwa wengine.

Ila pia wakati niko mdogo alinipatia karibu kila kitu nilichohitaji na kutaka. Sasa sijui na mimi nadeka au sijui nilidekezwa. Ila kama kudekezwa ni kupendwa na mzazi au wazazi wako basi I wear it as a badge of honor. Kuna watu wengi mno ambao wanatamani walau wapendwe na mtu hata mmoja – fikiria mayatima walio na umri mdogo.

You can say that a million time.....

My dad is my best friend ever!!! without him and his sacrifices, i would be dead or in jail.......... and i want to replicate this to my two sons,

But that doesnt mean i am any better kuliko wale wasiolelewa na baba by any chance, i just happened to be there and he is my dad
 
Swali la msingi la mada ni hili:
Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao.Kweli?

Ningedhani labda cha kuuliza ni " malezi ya karibu" maana yake nini?
 
Back
Top Bottom