Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

Hahahaha nimeshuhudia sana alafu mama analibembeleza utasikia mm ugali sitaki nataka chipsi kuku mama utasikia pole mwanangu utakula tu.
Hapo red ndio wimbo wa taifa wao kinamama, mtoto wa kiume haambiwi pole bana, wa kiume anaambiwa komaa. mmeelewa wamama wa JF?
 
Enhee mwalim gaijin tunaomba umjibu greti thinka gathii, halaf jamaa kaibuka bila umaarufu. Hii ndo JF bana

Huyo Gathii nimekosa jibu la kumpa kwa sababu keshalazimisha niwe nimetumia definition hiyo alotaka yeye. 😀

Sio kila correlation coefficient inapimwa kama hivyo alivyosema. Yeye anazungumzia Pearson's Product Moment correlation coefficient wakati kuna tele nyengine zimejaa
 
HFellow tablet, ulishaona jidume liko fomu siksi linafuliwa boxer yake na mama yake? Maanina zao!
Umeona eeh! na jengine linakwenda kwa mama kushtaki "mama nimenenepa kufuli limenifanyisha fangasi naomba ukaninunulie kufuli jengine la ekstra laji" , Khaaa! kimelipuka
 
Kabla sijaendelea kuupigia kura huu mswada:

Hivi wanavusema huyu ni "mtoto wa mama" wanamaanisha nini?

Niko kwenye maandamano huku. HIV inatishia amani ya kitandani.
 
Hahaha Klorokwini bana! Mie nilijua visa hivyo huwa katika zile nyumba ambazo wanajiita "modern". Malezi ya kisasa pekee, kumbe hata Tandale yapo?

Mwalim, hili tatizo lipo kila kwenye malezi ya mama labda yanazidiana tu kutokana na maeneo, ukiona mama hana tatizo kama hili basi akapime level ya testesterone hormone, inawezekana iko juu
 
Kabla sijaendelea kuupigia kura huu mswada:

Hivi wanavusema huyu ni "mtoto wa mama" wanamaanisha nini?

Niko kwenye maandamano huku. HIV inatishia amani ya kitandani.

Maanake kazaliwa na mama au?
 
Umeona eeh! na jengine linakwenda kwa mama kushtaki "mama nimenenepa kufuli limenifanyisha fangasi naomba ukaninunulie kufuli jengine la ekstra laji" , Khaaa! kimelipuka
Khaa! kuna limoja lilikuwa linalalamika mamake kalinunulia andawea nyeupe......... khaa! mpaka rangi yanachaguaga haya matoto ya mama, sijui huwa yanafikiri kuna siku nayo yatableed?
 
kabla sijaendelea kuupigia kura huu mswada:

Hivi wanavusema huyu ni "mtoto wa mama" wanamaanisha nini?

Niko kwenye maandamano huku. hiv inatishia amani ya kitandani.
heri babu useme nimehamasisha humu ila wote wamenigomea kupima
 
hehehe Mheshimiwa kaingia na mikwala ya dikshineri, nina hakika yeye mwenyewe hajafahamu alichokifafanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…