Wanaume wengi hatuna Ukimwi

Wanaume wengi hatuna Ukimwi

Yaweza kuwa kweli ila itabidi tukae kikako tujadili tulimfanya nini malaika wa vifo maana anatupapasa vyakutosha!. Kuna mkeka ulitoka wanaume wamekwenda ila wake zao wapo wanapeta..😅
Wanaume tunawahi kufa kwa sababu si ndio tunatoa shahawa imagine mwakan una siku 365 sasa ukitomb.. mara 150 kwa mwaka ni magoli mengi sana hapa unapunguza nguvu ila wanawake wao wanapokea shahawa ndio maana wanaishi sana shahawa ni protini kwahiyo wenzetu hata wasipokula mama samaki maharage maziwa protini watapata toka kwetu.
 
Yaweza kuwa kweli ila itabidi tukae kikako tujadili tulimfanya nini malaika wa vifo maana anatupapasa vyakutosha!. Kuna mkeka ulitoka wanaume wamekwenda ila wake zao wapo wanapeta..😅
Na ndiyo maana ukiwa na mke anakuwa na uhakika lazima utatangulia umuache. Utasikia ukifa utaniacha nateseka na watoto, yani yuko sure lazima uanze wewe🤣
 
Wanaume tunawahi kufa kwa sababu si ndio tunatoa shahawa imagine mwakan una siku 365 sasa ukitomb.. mara 150 kwa mwaka ni magoli mengi sana hapa unapunguza nguvu ila wanawake wao wanapokea shahawa ndio maana wanaishi sana shahawa ni protini kwahiyo wenzetu hata wasipokula mama samaki maharage maziwa protini watapata toka kwetu.
Ya kweli haya ama utapeli tu unataka kutulia wachumba zetu..😂
 
... hoja yako ya ajabu mzee! Hao wanawake sio viumbe kutoka sayari nyingine; ni mama zetu, dada zetu, binti zetu, shangazi, n.k. Wakiomboleza tunaomboleza wote pamoja so sioni cha kufurahia kwamba "sisi hatuko kwenye risk" ila wao! Wao akina nani? Si ndio hao hao tunaoishi pamoja kama jamii?
 
Siyo kweli bana
Hizo mbegu ndiyo zinaenda kutengeneza mtoto ambaye anaweza kuzaliwa bila shida
Embu fafanua hapo
 
1. Tunawazidi umri. Wewe una miaka 30 unaoa mwanamke mwenye 25 kawaida hapo wewe utaanza kufa mapema.
2. Tunawaza mambo mengi sana, namna ya kitafuta pesa, kazi, uwaze watoto mkeo n.k
3. Kazi zetu hizi, umeenda mkoa wa mbali unapambana jua lako na mvua. Mwanamke yupo ndani anaamka asubuhi anakunywa chai.
4. Hatupati muda wa kupumzika wa kutosha. Kuna jamaa hapa huwa anatoka saa 11 asubuhi anarudi saa 5 usiku kila siku. Mwanamke ana muda mwingi wa kupumzik
6. Kupiga nyau. Kula sambusa moja au andazi na kikombe kimoja cha chai kisha ukapige nyau. Kama haujazimia kwenye kifua cha mwanamke lkn mwanamke anakula andazi moja na chai na mzigo anatoa fresh tu.
Yaweza kuwa kweli ila itabidi tukae kikako tujadili tulimfanya nini malaika wa vifo maana anatupapasa vyakutosha!. Kuna mkeka ulitoka wanaume wamekwenda ila wake zao wapo wanapeta..😅
 
Back
Top Bottom