Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Tupe na makundi ya wanawake mkuu!!

Juzi juzi kuna mtu amesema mwanamke yeyote anayeshiriki kufanya mapenzi wakati hajaolewa ni "kahaba".

Hivyo kama wewe ni msichana hujaolewa lakini matiti yameshalala na kiungo chako kinatumika kama kitega uchumi basi unaangukia kwenye kundi la Sex workers.
 
.ndomaana si hangaiki nao kwa saana,najijua sura yangu mbaya,nawatokea nikila naamsha,
hata kama ntatumia rupia sana la msingi niwe nimekula baaasi, mengine mambo ya baby baby nawaachia wengine.
 
.ndomaana si hangaiki nao kwa saana,najijua sura yangu mbaya,nawatokea nikila naamsha,
hata kama ntatumia rupia sana la msingi niwe nimekula baaasi, mengine mambo ya baby baby nawaachia wengine.
[emoji23][emoji23] Umenichekesha Sana We Jamaa! Ila Kujitambua ni Muhimu Sana!
 
Karibu Nkuhungu
 
Karibu nkuhungu
 
Mwanamke mmoja alikua jamaa keshaenda kujitambulisha kwao lakini akawa ananiambia na mimi niende kujitambulisha.Asee sijui nipo kundi gani ila mwisho nikamuonea huruma mwanaume mwenzangu nika muacha aolewe naye!
 
Ndio haya nimepata pesa nikaja kwako tukala maisha mara pa mshiko unakata kuna mahaba hapo? Ngoja niendelee kujilia readymade tena siku hz mpaka mkopo wanatoa[emoji38][emoji38]
Kila la kheri ndugu
 
Hata ukiwa na fedha unagongewa na hb... Wanaelewekaga hawa
Nadhani cha muhimu ni uwe na fedha na uzitumie yeye anavyotaka,pia kuwepo na uwezo mkubwa wa kumridhisha 6 kwa 6,na mwisho uwe ni mchangamfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…