Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kugongewa ngumu,cha muhimu uweze kumfikisha haja.Je Ukiwa Handsome na Una Hela at the Same time?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kugongewa ngumu,cha muhimu uweze kumfikisha haja.Je Ukiwa Handsome na Una Hela at the Same time?
Tupe na makundi ya wanawake mkuu!!Leo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.
Nataka niwape siri moja wanawake wanayoificha mkae mjijue mpo kundi gani?
Kwa hapa bongo wanaume wanaopendwa na wanawake wapo katika makundi mawili tu.
KUNDI..... 1.....
Huyu ni mwanamme ambaye mwanamke amempenda kwa dhati haijalish unampa pesaa,haijalishi hauna kazi au una kazi yani hata kama huna pakukaa ila jua tu mwanamke ameamua kukupenda.
Chochote utakachohitaj kwa mwanamke utapewa yan hiyo inamaanisha amekupenda tu mwenyewe kwa dhati hata kama humfikishi kileleni yeye anakupenda tu.
Kila mwanamke ana mwanamme wake anayempenda yawezekana anakupenda uwe naye kwa fashion labda kwa marafiki zake ndugu n.k.
Pia huwez kuona mwanamke anakuomba hata senti tano inatokea mara chache sana muda mwingi anataman muwe wote mtoke out yani hata mtaani lazima atahitaji muwe wote.Piah atakulazimisha umuoe jua mwanamke anakupenda anataman kuishi na wewe kwa sababu atakuwa na furaha kuishi na mtu anayempenda.
KUNDI.....2....
Wanaume wenye pesaaa namaanisha wahongaji wale wasio wabahili wanaotoa pesaaa.Hakika hakuna mwanamke hapendi kuwa na mwanamme huyu labda awe na mwanamme wa kundi la 1 ila jaman wanaume wa kundi hilii wanapendwa sijapata kuona. Wengi waoo wanakuwa vizee na waume za watuu. Yani huwa wanapendewa pesaa na si chochote hata kileleni asipokufikisha wewe hujali unachojali pesaaa.
Akitokea kijana hajaoa na ana helaa uwiii huwa anasakwa na wanawake kama Rupia.
Nyongeza:
Mliobaki mpo kundi gani?
Location :Hombolo village Dodoma.
Poa ntaenda Iringa na kumalizia Tanga,vp hapo?Tarime huko Kuna machinja chinja
Haaaa kumbe na mimi ni kahendisamu!!!Kwa kifupi:
Kundi namba 1 ni wanaume ambao ni ma-handsome
Kundi namba 2 ni wanaume wenye sura mbaya lkn wana hela Demiss
We katafute pesa tu..huko kwingine waachie wenyewePoa ntaenda Iringa na kumalizia Tanga,vp hapo?
Hata ukiwa na fedha unagongewa na hb... Wanaelewekaga hawaInapendwa pesa mkuu,hata kama ni HB na hauna fedha,utagongewa tu;huo ndio ukweli.
Duh au nianzie kwa gwajiboy anifundishe mauno yale.We katafute pesa tu..huko kwingine waachie wenyewe
[emoji23][emoji23] Umenichekesha Sana We Jamaa! Ila Kujitambua ni Muhimu Sana!.ndomaana si hangaiki nao kwa saana,najijua sura yangu mbaya,nawatokea nikila naamsha,
hata kama ntatumia rupia sana la msingi niwe nimekula baaasi, mengine mambo ya baby baby nawaachia wengine.
Karibu NkuhunguLeo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.
Nataka niwape siri moja wanawake wanayoificha mkae mjijue mpo kundi gani?
Kwa hapa bongo wanaume wanaopendwa na wanawake wapo katika makundi mawili tu.
KUNDI..... 1.....
Huyu ni mwanamme ambaye mwanamke amempenda kwa dhati haijalish unampa pesaa,haijalishi hauna kazi au una kazi yani hata kama huna pakukaa ila jua tu mwanamke ameamua kukupenda.
Chochote utakachohitaj kwa mwanamke utapewa yan hiyo inamaanisha amekupenda tu mwenyewe kwa dhati hata kama humfikishi kileleni yeye anakupenda tu.
Kila mwanamke ana mwanamme wake anayempenda yawezekana anakupenda uwe naye kwa fashion labda kwa marafiki zake ndugu n.k.
Pia huwez kuona mwanamke anakuomba hata senti tano inatokea mara chache sana muda mwingi anataman muwe wote mtoke out yani hata mtaani lazima atahitaji muwe wote.Piah atakulazimisha umuoe jua mwanamke anakupenda anataman kuishi na wewe kwa sababu atakuwa na furaha kuishi na mtu anayempenda.
KUNDI.....2....
Wanaume wenye pesaaa namaanisha wahongaji wale wasio wabahili wanaotoa pesaaa.Hakika hakuna mwanamke hapendi kuwa na mwanamme huyu labda awe na mwanamme wa kundi la 1 ila jaman wanaume wa kundi hilii wanapendwa sijapata kuona. Wengi waoo wanakuwa vizee na waume za watuu. Yani huwa wanapendewa pesaa na si chochote hata kileleni asipokufikisha wewe hujali unachojali pesaaa.
Akitokea kijana hajaoa na ana helaa uwiii huwa anasakwa na wanawake kama Rupia.
Nyongeza:
Mliobaki mpo kundi gani?
Location :Hombolo village Dodoma.
Karibu nkuhunguLeo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.

Uwe na mauno + caring + pesa = full packageDuh au nianzie kwa gwajiboy anifundishe mauno yale.
Mwanamke mmoja alikua jamaa keshaenda kujitambulisha kwao lakini akawa ananiambia na mimi niende kujitambulisha.Asee sijui nipo kundi gani ila mwisho nikamuonea huruma mwanaume mwenzangu nika muacha aolewe naye!Leo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.
Nataka niwape siri moja wanawake wanayoificha mkae mjijue mpo kundi gani?
Kwa hapa bongo wanaume wanaopendwa na wanawake wapo katika makundi mawili tu.
KUNDI..... 1.....
Huyu ni mwanamme ambaye mwanamke amempenda kwa dhati haijalish unampa pesaa,haijalishi hauna kazi au una kazi yani hata kama huna pakukaa ila jua tu mwanamke ameamua kukupenda.
Chochote utakachohitaj kwa mwanamke utapewa yan hiyo inamaanisha amekupenda tu mwenyewe kwa dhati hata kama humfikishi kileleni yeye anakupenda tu.
Kila mwanamke ana mwanamme wake anayempenda yawezekana anakupenda uwe naye kwa fashion labda kwa marafiki zake ndugu n.k.
Pia huwez kuona mwanamke anakuomba hata senti tano inatokea mara chache sana muda mwingi anataman muwe wote mtoke out yani hata mtaani lazima atahitaji muwe wote.Piah atakulazimisha umuoe jua mwanamke anakupenda anataman kuishi na wewe kwa sababu atakuwa na furaha kuishi na mtu anayempenda.
KUNDI.....2....
Wanaume wenye pesaaa namaanisha wahongaji wale wasio wabahili wanaotoa pesaaa.Hakika hakuna mwanamke hapendi kuwa na mwanamme huyu labda awe na mwanamme wa kundi la 1 ila jaman wanaume wa kundi hilii wanapendwa sijapata kuona. Wengi waoo wanakuwa vizee na waume za watuu. Yani huwa wanapendewa pesaa na si chochote hata kileleni asipokufikisha wewe hujali unachojali pesaaa.
Akitokea kijana hajaoa na ana helaa uwiii huwa anasakwa na wanawake kama Rupia.
Nyongeza:
Mliobaki mpo kundi gani?
Location :Hombolo village Dodoma.
Uwe na mauno + caring + pesa = full package
Ha haa jamaniDuh pesa zangu+caring+mauno=full package...thubutu ntaishia kwa kimboka na shivazi hayo mengine tupa kule
Ndio haya nimepata pesa nikaja kwako tukala maisha mara pa mshiko unakata kuna mahaba hapo? Ngoja niendelee kujilia readymade tena siku hz mpaka mkopo wanatoa[emoji38][emoji38]Ha haa jamani
dracular muulize Demiss kuwa Mung Chris yupo kundi lipi mbane akujibuWe mwanaume ulie nae yupo kundi gani?
Kila la kheri nduguNdio haya nimepata pesa nikaja kwako tukala maisha mara pa mshiko unakata kuna mahaba hapo? Ngoja niendelee kujilia readymade tena siku hz mpaka mkopo wanatoa[emoji38][emoji38]
Nadhani cha muhimu ni uwe na fedha na uzitumie yeye anavyotaka,pia kuwepo na uwezo mkubwa wa kumridhisha 6 kwa 6,na mwisho uwe ni mchangamfuHata ukiwa na fedha unagongewa na hb... Wanaelewekaga hawa