Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Chinekeee!!😛layball:


 
nashukuru!tatizo ni tamaa unakuta mwingine anaona wenziye wana vitu vizuri na yeye anataka awe navyo kwa haraka.
pia kutokukubaliana na hali duni tulizonazo.
 
nashukuru!tatizo ni tamaa unakuta mwingine anaona wenziye wana vitu vizuri na yeye anataka awe navyo kwa haraka.
pia kutokukubaliana na hali duni tulizonazo.

Excellent!! joyness
 
Last edited by a moderator:
you made my night sweetie joyness
 
pole sana,nini ushauri wako kwa mabinti wenye mtazamo kama wako.
Asante!

Mimba ya kukusudia bila ridhaa ya mwanaume ili uolewe naye si kigezo cha/sharti la mwanaume kukuoa.

Kumbebea mimba mwanaume ili akuoe huwa na matokeo mawili either "ukapendwa sana" au "ukachukiwa sana" kuliko watu wote duniani.

Kumbebea mimba mwanaume ili akuoe yadhihirisha uzembe na kushindwa kujimudu kwa mwanamke kwenye mwili wake mwenyewe. Hivyo hawezi kumudu familia.Hawafai kuoa.

Wanaume hatu-oi mimba,tuna-oa tuwapendao kwa dhati bila masharti ya huruma yaani 'mimba'
 
mtaishia kubeba mimba na kila mwanaume ili mwolewe pasipokuolewa

na ndio watoto wa mitaan wanapoongezeka kwa kasi ya ajabu, na kuwatupa choon,mitaroni,mifereni,majalalan viumbe wasio na hatia kwasababu za kubeba mimba kwa ajili ya kuolewa tuweni makini wadada.
 

nilihisi ww ni KE kumbe ni ME.
 
hahahahaha umenichekesha sana Asnam, haya ndo mambo ya JF



ila ulipitiliza duh eti nikambebea mimba,hebu fafanua ww ndo ulibeba au binti alikubebea ujue ile sentensi yako ina utata?
 
mimba ili uolewe au ili uzae, au both...... unaweza beba mimba na ukamcha Mungu bana si ulishatubu, labda iwe mimba ya shetani

Sasa hvi kumezuka tabia kwa baadhi ya wanawake wengi kujitegsha wapate mimba ilimradi tu waweze kuolewa na hao wanaume waliopatia hzo mimba na kuasahau kwmba kufnya hvyo ni kinyume na matakwa ya mwenyz mungu so ndgu yngu Hoshea naomba utambue hlo kwnza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…