kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,872
Ukinipa ruhusa Nitatokea pande za DM
Ni mm ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mm ndio
And Vice-Versa!
Ahhahahhaha alafu mnakuwaga wabahili nyieeee
Leo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.
Nataka niwape siri moja wanawake wanayoificha mkae mjijue mpo kundi gani?
Kwa hapa bongo wanaume wanaopendwa na wanawake wapo katika makundi mawili tu.
KUNDI..... 1.....
Huyu ni mwanamme ambaye mwanamke amempenda kwa dhati haijalish unampa pesaa,haijalishi hauna kazi au una kazi yani hata kama huna pakukaa ila jua tu mwanamke ameamua kukupenda.
Chochote utakachohitaj kwa mwanamke utapewa yan hiyo inamaanisha amekupenda tu mwenyewe kwa dhati hata kama humfikishi kileleni yeye anakupenda tu.
Kila mwanamke ana mwanamme wake anayempenda yawezekana anakupenda uwe naye kwa fashion labda kwa marafiki zake ndugu n.k.
Pia huwez kuona mwanamke anakuomba hata senti tano inatokea mara chache sana muda mwingi anataman muwe wote mtoke out yani hata mtaani lazima atahitaji muwe wote.Piah atakulazimisha umuoe jua mwanamke anakupenda anataman kuishi na wewe kwa sababu atakuwa na furaha kuishi na mtu anayempenda.
KUNDI.....2....
Wanaume wenye pesaaa namaanisha wahongaji wale wasio wabahili wanaotoa pesaaa.Hakika hakuna mwanamke hapendi kuwa na mwanamme huyu labda awe na mwanamme wa kundi la 1 ila jaman wanaume wa kundi hilii wanapendwa sijapata kuona. Wengi waoo wanakuwa vizee na waume za watuu. Yani huwa wanapendewa pesaa na si chochote hata kileleni asipokufikisha wewe hujali unachojali pesaaa.
Akitokea kijana hajaoa na ana helaa uwiii huwa anasakwa na wanawake kama Rupia.
Nyongeza:
Mliobaki mpo kundi gani?
Location :Hombolo village Dodoma.
Wanawake wengi wanapenda wanaume wakimya na ambao ni urefu 5'10 na kuendelea!
Mimi ni mkimya na nina nyota ya kupendwa sana na wanawake wa rika tofauti! Na wananipenda kimapenzi zaidi! Ningekuwa kiwembe ningewala sana ila siko hivyo!
Leo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.
Nataka niwape siri moja wanawake wanayoificha mkae mjijue mpo kundi gani?
Kwa hapa bongo wanaume wanaopendwa na wanawake wapo katika makundi mawili tu.
KUNDI..... 1.....
Huyu ni mwanamme ambaye mwanamke amempenda kwa dhati haijalish unampa pesaa,haijalishi hauna kazi au una kazi yani hata kama huna pakukaa ila jua tu mwanamke ameamua kukupenda.
Chochote utakachohitaj kwa mwanamke utapewa yan hiyo inamaanisha amekupenda tu mwenyewe kwa dhati hata kama humfikishi kileleni yeye anakupenda tu.
Kila mwanamke ana mwanamme wake anayempenda yawezekana anakupenda uwe naye kwa fashion labda kwa marafiki zake ndugu n.k.
Pia huwez kuona mwanamke anakuomba hata senti tano inatokea mara chache sana muda mwingi anataman muwe wote mtoke out yani hata mtaani lazima atahitaji muwe wote.Piah atakulazimisha umuoe jua mwanamke anakupenda anataman kuishi na wewe kwa sababu atakuwa na furaha kuishi na mtu anayempenda.
KUNDI.....2....
Wanaume wenye pesaaa namaanisha wahongaji wale wasio wabahili wanaotoa pesaaa.Hakika hakuna mwanamke hapendi kuwa na mwanamme huyu labda awe na mwanamme wa kundi la 1 ila jaman wanaume wa kundi hilii wanapendwa sijapata kuona. Wengi waoo wanakuwa vizee na waume za watuu. Yani huwa wanapendewa pesaa na si chochote hata kileleni asipokufikisha wewe hujali unachojali pesaaa.
Akitokea kijana hajaoa na ana helaa uwiii huwa anasakwa na wanawake kama Rupia.
Nyongeza:
Mliobaki mpo kundi gani?
Location :Hombolo village Dodoma.
Anaweza asiwe handsome, akiwa romantic na caring baaas kwisha habari yangu
Ha haa chuo gani? Utadisco wewePowa ngoja nikasomee hizo sifa maana ss wengine hapo ni F.
Ha haa chuo gani? Utadisco wewe
Naskia kiko TARIME.
Na wale wanawake wanao toa pesa ili kuwa na fulani,wao wako kundi gani,maana niliwahi kugandwa na pesa juu,ila nilisepa na kuchukua kitu roho inapenda
Acha uongo!Sisi ambao hatujabahatika pendwa mpaka sasa na pesa hatuna:
Je Ukiwa Handsome na Una Hela at the Same time?Kwa kifupi:
Kundi namba 1 ni wanaume ambao ni ma-handsome
Kundi namba 2 ni wanaume wenye sura mbaya lkn wana hela Demiss
Tarime huko Kuna machinja chinja[emoji23][emoji23][emoji23] mbona umeshtuka kimeku mama akee?