Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Yote tulioandika humu mbwembwe nyingi kikubwa maridhiano pesa sawa imekosekana powa siyo kila siku mtabaki kuwa na pesa iko mtaishiwa,huyo handsome iko siku atamwagikiwa na maji ya rejeta usoni mara pa nusu mdhungu kuna maisha hapo? Acheni kuchagua sana kumbukeni muda nao si rafiki mwisho wa siku mwaja kulalamika humu et nian35+ na sina dalili ya kuolewa,wakati ww mwenyewe ulikuwa mbaguzi kuzidi kaburu!
 
Leo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.
Nataka niwape siri moja wanawake wanayoificha mkae mjijue mpo kundi gani?
Kwa hapa bongo wanaume wanaopendwa na wanawake wapo katika makundi mawili tu.

KUNDI..... 1.....

Huyu ni mwanamme ambaye mwanamke amempenda kwa dhati haijalish unampa pesaa,haijalishi hauna kazi au una kazi yani hata kama huna pakukaa ila jua tu mwanamke ameamua kukupenda.
Chochote utakachohitaj kwa mwanamke utapewa yan hiyo inamaanisha amekupenda tu mwenyewe kwa dhati hata kama humfikishi kileleni yeye anakupenda tu.
Kila mwanamke ana mwanamme wake anayempenda yawezekana anakupenda uwe naye kwa fashion labda kwa marafiki zake ndugu n.k.
Pia huwez kuona mwanamke anakuomba hata senti tano inatokea mara chache sana muda mwingi anataman muwe wote mtoke out yani hata mtaani lazima atahitaji muwe wote.Piah atakulazimisha umuoe jua mwanamke anakupenda anataman kuishi na wewe kwa sababu atakuwa na furaha kuishi na mtu anayempenda.

KUNDI.....2....
Wanaume wenye pesaaa namaanisha wahongaji wale wasio wabahili wanaotoa pesaaa.Hakika hakuna mwanamke hapendi kuwa na mwanamme huyu labda awe na mwanamme wa kundi la 1 ila jaman wanaume wa kundi hilii wanapendwa sijapata kuona. Wengi waoo wanakuwa vizee na waume za watuu. Yani huwa wanapendewa pesaa na si chochote hata kileleni asipokufikisha wewe hujali unachojali pesaaa.
Akitokea kijana hajaoa na ana helaa uwiii huwa anasakwa na wanawake kama Rupia.

Nyongeza:
Mliobaki mpo kundi gani?



Location :Hombolo village Dodoma.
Utafanya vikongwe wamalize haraka ppension zao, tafadhali
 
Kwani ananipa nni ambacho siwez kupata kwengine, hela nimpe, kitandani ni mkojoleshe na niwe mchangamfu pia
Unless there is a real value she is adding to my life labda
Nadhani cha muhimu ni uwe na fedha na uzitumie yeye anavyotaka,pia kuwepo na uwezo mkubwa wa kumridhisha 6 kwa 6,na mwisho uwe ni mchangamfu
 
Kwani ananipa nni ambacho siwez kupata kwengine, hela nimpe, kitandani ni mkojoleshe na niwe mchangamfu pia
Unless there is a real value she is adding to my life labda
ha ha ha ha hizo akili huwa zinakuja baada ya game
 
Back
Top Bottom