Wanaume wengi mbona wanaomba kununuliwa bia sikuizi bar

Mkuu Mopak hili swala linaukweli?
Mwanamme utaendaje baa bila hela ati ni kwenda kuomba ununuliwe bia. Heri ya mwanamke atakunywa za ofa in return with kibwenye. Bora hata ukope ulewe urudi home kuliko kwenda kulembua macho huko. Au kama ni lazma ulewe kunywa afu utoke bila kulipa upgwe ufe yaishe kikubwa umelewa. Afu mambo na pombe tupge kimya kimya nchi haipo salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…