Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Weekend yenu vipi,
Kuna stereotype ipo kwenye jamii inayosema kuwa kila mwanaume ana michepuko 5 kwenda mbele, kiuhalisia kwa ground mambo hayako hivyo. Wanaume wengi tunapenda kulala na wanawake wengi tofauti, ila wenye uwezo wa kufanya hivyo ni wachache
Wanaume players wenye uwezo wa kuwavua nguo wanawake wengi kwa kuwatongoza (bila kutumia dawa ya kienyeji) huenda hawafiki asilimia 1 ya male population, wanaume players namaanisha wale ambao mtaa mzima anajulikana kwa kutembea na wanawake wengi, na akimfata mdada kuna uwezekano mkubwa 80% kuwa atakubaliwa.
Wanaume wengi wapo single kwa miaka mingi & lonely wanaishia kununua malaya wanaojiuza au kuji drone drake ili kukidhi tamaa zao za kimwili, wanaume wanaojitahidi saaana wana date na wadada 5 tu kwa miaka 8 tofauti, wanaume wengine wana girlfriend mmoja, na hawana uwezo wa kuwapata wengine ilhali wangependa iwe hivyo.
Mwanaume kuwa player haina uhusiano na kuwa na pesa au kutokua nayo, kuna wanaume wana pesa nyingi sana ila wana struggle kupata wanawake wa kuwavulia nguo, na kuna mwanaume ana mshahara wa laki 2 kwa mwezi, ila kwenye kuitumia kupata wadada, anaipangilia inakuwa kama tsh million 2 kwa mwezi, So kuwa mwanaume player haihitaji pesa tu, inahitaji uwe na upepo na wadada na uwe na ujanja ujanja/skills za kutongoza, kitu ambacho wanaume wengi hatuna.
Kwahiyo wewe mdada uliepo kwenye mahusiano kuna uwezekano mkubwa kuwa huyo boyfriend wako hana michepuko kama wewe unavofikiria.
NB: Mwanaume kulala na wanawake wengi unajiweka kwenye hatari ya STD's ambazo zitakuharibia maisha