Wanaume wengi sio malaya kama jamii inavotaka kutuaminisha

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Weekend yenu vipi,

Kuna stereotype ipo kwenye jamii inayosema kuwa kila mwanaume ana michepuko 5 kwenda mbele, kiuhalisia kwa ground mambo hayako hivyo. Wanaume wengi tunapenda kulala na wanawake wengi tofauti, ila wenye uwezo wa kufanya hivyo ni wachache

Wanaume players wenye uwezo wa kuwavua nguo wanawake wengi kwa kuwatongoza (bila kutumia dawa ya kienyeji) huenda hawafiki asilimia 1 ya male population, wanaume players namaanisha wale ambao mtaa mzima anajulikana kwa kutembea na wanawake wengi, na akimfata mdada kuna uwezekano mkubwa 80% kuwa atakubaliwa.

Wanaume wengi wapo single kwa miaka mingi & lonely wanaishia kununua malaya wanaojiuza au kuji drone drake ili kukidhi tamaa zao za kimwili, wanaume wanaojitahidi saaana wana date na wadada 5 tu kwa miaka 8 tofauti, wanaume wengine wana girlfriend mmoja, na hawana uwezo wa kuwapata wengine ilhali wangependa iwe hivyo.

Mwanaume kuwa player haina uhusiano na kuwa na pesa au kutokua nayo, kuna wanaume wana pesa nyingi sana ila wana struggle kupata wanawake wa kuwavulia nguo, na kuna mwanaume ana mshahara wa laki 2 kwa mwezi, ila kwenye kuitumia kupata wadada, anaipangilia inakuwa kama tsh million 2 kwa mwezi, So kuwa mwanaume player haihitaji pesa tu, inahitaji uwe na upepo na wadada na uwe na ujanja ujanja/skills za kutongoza, kitu ambacho wanaume wengi hatuna.

Kwahiyo wewe mdada uliepo kwenye mahusiano kuna uwezekano mkubwa kuwa huyo boyfriend wako hana michepuko kama wewe unavofikiria.

NB: Mwanaume kulala na wanawake wengi unajiweka kwenye hatari ya STD's ambazo zitakuharibia maisha
 
Rule of philemone , wanaume wanaopiga mademu ni wale wale coz of philemone hormone, umewahi jiuliza kwann mwaname alieoa anakubaliwa haraka kuliko mwanaume single
 
Mmoja Mzuri mwenye Akili timamu anitosha, Labda aninyime mbususu
 
Vice versa is true,

Watu tuna video 687 kibindoni and counting.. achana na yule chipukizi waliemdaba majuzi.
 
Mitazamo ya wanawake wengi imekuwa influenced na kutazama michezo ya maigizo,tamthiria,kusikiliza dada,mama,na shangazi zao wakiwahadithia mikasa ya kimahusiano na mwishoni kuwahusia kuwa wanaume ni tatizo,lakini zaidi wanawake hutumia mitandao ya kijamii kujenga mitazamo yao juu ya wanaume ambao hata hawajawahi kuishi nao. Kwa kifupi mwanamke huwa anamtengenezea mwanaume story kabla hata hajamjua then anamhukumu nayo na ndio maana wanawake wengi ni wa kwanza kuharibu mahusiano ila ndio wanao ongoza kulipia hesabu ya kuharibu mahusiano hayo.

Wanaume ni kinyume,mitazamo yao inaundwa na kile wanachokipitia na mwanamke. Akikuelezea ubaya wa mwanamke jua alishaishi nae na alijaribu kukaa nae vizuri kiroho safi ila mwanamke ndie akaleta shida na hakutaka kurekebika.
 
Mwaka huu tu tangu uanze nimeshagonga wanne,wastani wa demu mmoja kwa wiki
 
Sasa hivi mwanamke kukukatalia ni ngumu sana, hata wale ambao unakuta ana boyfriend wake lakini, ukitupa ndoano tu imo!

Sasa hivi wanaume tunaogopa kutongoza wanawake kwasababu hatuna pesa.
 
Sasa hivi mwanamke kukukatalia ni ngumu sana, hata wale ambao unakuta ana boyfriend wake lakini, ukitupa ndoano tu imo!

Sasa hivi wanaume tunaogopa kutongoza wanawake kwasababu hatuna pesa.
Sio kwamba sahivi wanaume tunaogopa kutongoza coz karibia kila mdada Yuko kimaslahi, hamna true love Lighton
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…