BumbleBeeBot
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 478
- 819
Nimeona thread za masingo maza sana siku hizi, nyingi zikiwa zinawakandia sana.
Muda mwingine unatamani kuwatetea lakini kama umeshawahi kuwa na single mother bas ni ngumu sana kuwatetea. Single mother wachache wanawaharibia sana wengine.
Mimi nilishawahi kuwa na single mother nikasema sitakuja kuwa na mwanamke wa maisha dizain hiyo na najitahidi hata mwanamke wangu asiwe single mother, atateseka.
Nawaoneaga huruma sana, Wana hustle sana kivyao, wengine wanaweza fanya mambo ya aibu ili kulea mtoto ambae labda baba alikwepa majukumu. Sometimes najitahidi kuwaelewa.
Ila wanasema ukipata single mother anaejielewa na akaamua kutulia basi umeulamba😃