Wanaume wengi tumeumizwa na single mothers, ndiomaana vita zao ni ngumu kuwatetea

Nimeona thread za masingo maza sana siku hizi, nyingi zikiwa zinawakandia sana.

Muda mwingine unatamani kuwatetea lakini kama umeshawahi kuwa na single mother bas ni ngumu sana kuwatetea. Single mother wachache wanawaharibia sana wengine.

Mimi nilishawahi kuwa na single mother nikasema sitakuja kuwa na mwanamke wa maisha dizain hiyo na najitahidi hata mwanamke wangu asiwe single mother, atateseka.

Nawaoneaga huruma sana, Wana hustle sana kivyao, wengine wanaweza fanya mambo ya aibu ili kulea mtoto ambae labda baba alikwepa majukumu. Sometimes najitahidi kuwaelewa.

Ila wanasema ukipata single mother anaejielewa na akaamua kutulia basi umeulamba😃
A man was born to start a family not to join a family.

Naomba nisiulizwe aliyesema huu msemo.
 
Nimeona thread za masingo maza sana siku hizi, nyingi zikiwa zinawakandia sana.

Muda mwingine unatamani kuwatetea lakini kama umeshawahi kuwa na single mother bas ni ngumu sana kuwatetea. Single mother wachache wanawaharibia sana wengine.

Mimi nilishawahi kuwa na single mother nikasema sitakuja kuwa na mwanamke wa maisha dizain hiyo na najitahidi hata mwanamke wangu asiwe single mother, atateseka.

Nawaoneaga huruma sana, Wana hustle sana kivyao, wengine wanaweza fanya mambo ya aibu ili kulea mtoto ambae labda baba alikwepa majukumu. Sometimes najitahidi kuwaelewa.

Ila wanasema ukipata single mother anaejielewa na akaamua kutulia basi umeulamba😃
kweli kabisa wapo majamaa walipata zar na hawa hawa singo mothers tunawabeza wanaishi maisha mazuri kabisa
 
Back
Top Bottom