Nakumbuka kuna demu niliwahi kuwa nae nilikuwaga namkubali sana nikijisemea hapa nimefika
katika kuishi nae sikuwa na mazoea ya kupekua wala kutumia simu yake ila niliwahi kuijua password yake, basi kuna siku alikuwa ameenda kuoga nikaifungua.
Aiseee !! Yule mwanamke ni kiungo mshambuliaji wa kitanda kimoja baada kingine, niliingia ile sehemu ya kutafuta meseji nikawa nasechi maneno kama mpenzi, mb*, ku*, s#x, n.k. sikuwa na nguvu ya kuendelea nae mahusiano, siku hio ndio ilikuwa mwisho kujuana.
Tulikuwa tunashare mzigo watu watatu na kila moja anapangwa kwa ratiba yake, flani anaambiwa kaenda kusalimia kwao kumbe tarehe hio alikuwa kwangu, siku ambayo ananiambia kaenda kwenye shughuli zake kumbe kuna mwengine anamkamua, Daaah !!
Simu ya mwanamke ina siri nyingi sana na ukiwa mpelelezi wa simu yake atatafuta njia mbadala aidha awe na kasimu kengine ka siri, awe anafuta meseji na call logs, awe anawasiliana kwa email, n.k.
Ni suala la kukaa mbali na simu ya mwanamke mahusiano yadumu, hivi visingizio vya insecurities ni kuzuga tu