Wanaume wengi tunalea watoto wasio wetu

Wanaume wengi tunalea watoto wasio wetu

Jack HD

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
851
Reaction score
1,168
Hivi ulishawahi kujiuliza kama huyo mtoto unayelea ni wa kwako halali?

Tafiti ndogo isiyo rasmi inaonyesha kuna uzinzi mwingi unafanyika kwa wanandoa nje ya ndoa zao. Tena imekuwa kama ni kawaida na desturi mume ama mke kuwa na mpenzi wa nje. nasikia mnawaita mchepuko. lets have a walk

Uzinzi wa nje ya ndoa umefikia mbali na wengi wanaonekana kufurahia maisha haya. inafikia hatua mwanaume anapozini na mke wa mtu huwa hajali vitu kama kushika mimba, mwanamke yupo kwenye siku za hatari n.k kwa uchunguzi wangu usio rasmi wanaume wengi linapokuja suala la kutembea na mke wa mtu only few percent not more than 7% ndio huwaza athari zitakazotokea pindi akifanya hiyo ejaculation yake ndani. What are the consequences?

Wanaume wengi hawajali, utasikia jamaa hatojua kama sio wake, ama mimi mwenyewe sijui kama hawa ninaolea nyumbani ni wa kwangu. Wakati mwingine wanawake pia huchangia, unakuta mwanamke yupo kwenye ndoa but anamwambia aliyewahi kuwa ex wake lazima nizae na wewe. This is happening.

Kwa kuchepuka huku, kwa uzinzi ufanywao nje ya ndoa. Do you believe that child is yours?
Yereeeeewi, yamkini ni mtoto wa muuza genge pale jirani, ama yule mpaka kucha rangi mkeo anapoendaga, hivi si alikuwa na mtu kabla ya kumuoa, vipi ikiwa siku moja moja wanakutana kukumbushia, si unamwacha nyumbani muda mwingi na wewe upo kazini, je nyumbani atakuwa salama muda wote ama hata ndugu yako anapita kwa mkeo? kazini je, boss naye anamega kisela akishindana na baadhi ya wafanyakazi wenzake. Oooops, The world is not a safe place?, Lets go Mars!!

What is in your mind?
 
Nikweli dunia siomahali salama tuishi kwa akili ya kujiongeza sio ya mazoe kuna mambo mengisana. Nyuma ya pazia.thanks.
 
Nini kimekupata mkuu ? Funguka tu maana hadi umeamua kuandika asubuhi yote hiii lazma kuna jambo.
 
Mkuu, kuna mambo yanatokea hapa dunia mpaka mtu unshangaa watu wanavyoingilia himaya za watu wengine
 
usiwe unajihakikishia ni wako kisa kafanana na ndugu zako
Wote wamefanana na mimi mwenyewe, uzuri mpaka picha zangu nilipokuwa mdogo ninazo, so nina uhakika ni wangu, then macho, mdomo, pua, kichwa hadi tembea ni kama mimi.
 
wewe pia si umefanana na ndugu zako, vipi kama watoto wamefuata na huko pia. Mkuu, usiwaze sana wee endelea kulea tu!!
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wewe pia si umefanana na ndugu zako, vipi kama watoto wamefuata na huko pia. Mkuu, usiwaze sana wee endelea kulea tu!!
Nimezaliwa pekee, na nimefanana na baba yangu, je hao ndugu nilofanana nao wametokea wapi[emoji15] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ngoja na Mimi Leo niuwahi huu uji ukiwa wa moto, kusema la ukweli mkuu haya mambo yapo na yana happen sana, hayajaanza Leo yalikuwepo miaka na miaka ila tu utandawazi unatufanya sasa yote kuwa ya wazi, mathalani tukitazama miaka ile ambayo simu hazikuwepo, mpaka upenyezewe umbea barua ikufikie kuwa kuna njemba inakutafunia basi yafaa uisubiri wiki kadhaa, ni hivi, kuna kisa cha kweli kilitokea mahali kijitonyama, hii familia ilikuwa na watoto wa4, sasa siku moja mwanaume alirudi mapema nyumbani taratiiibu, na kumkuta mkewe anaongea kwa simu na maneno aliyasikia ya mwishoni kuwa "yaani huwezi kuamini, kila kitu amefanana na Fulani, mpaka kutembea, na tabia nyingine kazichukua, na anapenda tambi kama Fulani, mkuu, wewe jua kilichoendelea hapo, jamaa ilibidi aanzishe mtiti maana kila kitu alisikia, mwisho waliishia kwenye vipimo na kati ya watoto wa4 mmoja ndo alikuwa wa jamaa. Samahanini wakuu nimeandika barua ila nia ni kuchangia niyajuayo. Suluhisho ni kusali tu maana kiama hakipo mbali
 
🙂🙂🙂 Baba yako ni ndugu yako pia
 
dah, its touching aiseeeeee
 
Sasa wafanane na baba lakini wawe wa mwengine, aisee unafahamu nini kuhusu nasabu ya mtu?
waweza kujikuta unakaa na wadogo zako, wewe unasema ni watoto wako. its possible mkuu
 
🙂🙂🙂 Baba yako ni ndugu yako pia
Maisha yote mtoto ili kweli kuthibitika kuwa wako basi sura na baadhi ya vitabia huwa vinarandana kwenye nasaba yako, na ndio maana hata wataalam wa afya hupima vinasaba [DNA], ukikuta kwenye vinasaba vyako hayupo basi huyo sio wako.
 
maana yangu, wanaweza kuwa wa baba. sorry lakini, haya mambo ni mazito mkuu
Sikai na baba yangu, ye yuko mbali, umri wake tayari umesonga 80+ hv kweli ina make sense uliyoandika?[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom