Jack HD
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 851
- 1,168
Hivi ulishawahi kujiuliza kama huyo mtoto unayelea ni wa kwako halali?
Tafiti ndogo isiyo rasmi inaonyesha kuna uzinzi mwingi unafanyika kwa wanandoa nje ya ndoa zao. Tena imekuwa kama ni kawaida na desturi mume ama mke kuwa na mpenzi wa nje. nasikia mnawaita mchepuko. lets have a walk
Uzinzi wa nje ya ndoa umefikia mbali na wengi wanaonekana kufurahia maisha haya. inafikia hatua mwanaume anapozini na mke wa mtu huwa hajali vitu kama kushika mimba, mwanamke yupo kwenye siku za hatari n.k kwa uchunguzi wangu usio rasmi wanaume wengi linapokuja suala la kutembea na mke wa mtu only few percent not more than 7% ndio huwaza athari zitakazotokea pindi akifanya hiyo ejaculation yake ndani. What are the consequences?
Wanaume wengi hawajali, utasikia jamaa hatojua kama sio wake, ama mimi mwenyewe sijui kama hawa ninaolea nyumbani ni wa kwangu. Wakati mwingine wanawake pia huchangia, unakuta mwanamke yupo kwenye ndoa but anamwambia aliyewahi kuwa ex wake lazima nizae na wewe. This is happening.
Kwa kuchepuka huku, kwa uzinzi ufanywao nje ya ndoa. Do you believe that child is yours?
Yereeeeewi, yamkini ni mtoto wa muuza genge pale jirani, ama yule mpaka kucha rangi mkeo anapoendaga, hivi si alikuwa na mtu kabla ya kumuoa, vipi ikiwa siku moja moja wanakutana kukumbushia, si unamwacha nyumbani muda mwingi na wewe upo kazini, je nyumbani atakuwa salama muda wote ama hata ndugu yako anapita kwa mkeo? kazini je, boss naye anamega kisela akishindana na baadhi ya wafanyakazi wenzake. Oooops, The world is not a safe place?, Lets go Mars!!
What is in your mind?