Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani


Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit

Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
 
Kilichokuleta huku kuandika ni nini si ungetunga shairi la kuwaasifu hao waume zako kwenye hiyo mitandao pendwa uwawekee huko? Pambafff!
 
akili za wanawake wengine mungu awaharumie tu.
 
Bila shaka mleta uzi anauza **** na wateja wa jf hawana habari naye au wanamdalalia sana ndo maana anawaita wachovu
 
Kwa hiyo huko ndiko umehamishia biashara baada ya kukosa soko Facebook&jamii forums??
Wee ujue niko kwenye kikao cha famikia asee


Sasa unanichekesha hivu!!!?

Kama wapinzani wenyewe wameanza kuvikimbia vyama kwa sababu ta vyuma kukaza sembuse wao??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…