Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

Anachokitafuta atakipata tuu. Ukute alisha chezewa saana na jamaa wa jf na facebook. Analeta ushuhuda indirect
Hahahaa. Ndio sababu anawaita wote wachovu.

Ila ndio hivyo jirani huenda anakaamini kale ka msemo ka samaki mmoja akioza. Na hiyo ndio sababu iliyomfanya aje kwa mbwembwe zote pasi hata kufikiria kwa kina.
 
Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
7db15487b406304c0c1c56b97d45cdaf.jpg

056a08cc199a0e6c755866d488d6a397.jpg

Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit

Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Mkuu itakuwa hujawahi kukutana wenye nazo labda ni una bahati mbaya humu JF, ila kumbuka sisi pia tupo huko ulipopataja kuwa wanazo.
 
Sijui kwanini nikajitoa Badoo kabla ya kumkula huyu![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Sijaona uhusiano kati ya social networks na pesa au mapenzi. Mtoa mada hebu fafanua
 
Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
7db15487b406304c0c1c56b97d45cdaf.jpg

056a08cc199a0e6c755866d488d6a397.jpg

Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit

Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
7db15487b406304c0c1c56b97d45cdaf.jpg

056a08cc199a0e6c755866d488d6a397.jpg

Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit

Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Mjaribu dume la mbegu GuDume ulete mrejesho
 
Njoo uchukue 150k kwangu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
[emoji23][emoji23] ushaliwa bure heeee heeee hao ndio wahuni sasa umeingia kichwa kichwa watu wamekula zote ndio dawa yenu nyie mnaojifanya materialist.
 
Duuh! Umesahau kuwa 98% ya members wa jf ni wanachama wa hiyo mitandao?
 
JF Ndio Ngome Pekee Iliyobakia Na Wanaume Tunaoitwa Gentleman Huko kwengine Tumewaachia Wanaume Mnaojinadi Kutwa Mnafanyabiashara Za Sura, Makalio, Mapaja Mazuri na Shape Najua Huko Ulikotoka Hupigwi Kuni za Kutosha Ndio Maana tangu Uingie HuMu Huishi Kuweweseka Punguza Genye Hizo Vitu Huziwezi
 
Ina maana umebanduliwa na wanaume wanaotumia mitandao yote hiyo.?
 
Kweli Mimi mchovu sio kosa kisheria kwangu kama wote tungekuwa mambo Safi dunia isingekuwa mahala salama pa kuishi
 
Back
Top Bottom