Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
7db15487b406304c0c1c56b97d45cdaf.jpg

056a08cc199a0e6c755866d488d6a397.jpg

Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit

Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
hivi huwa watu wanafikilia nini humu ndani au wana hisi tupo kwenye mitandao ya kuwekaweka ujinga .......
 
umejitahidi sana kuwa time uwatoze hela wakakushtukia ndio umeamua kuja na huu uzi, ni shida sana, hamjawahi kukaa mkaonana mkaongea mkapanga moja mbili unataka akutumie hela kivipi huoni ww ndio unakatabia kasiko kazuri afadhali ungekaa kimya maana ulichofanya ni kosa ni sawa na kuingiza mkono mfukoni mwa mwanaume na kutaka kumchomoa hela ili usepe usirudie tena.
 
utafiti wako umeufanya kwa mikoa mingapi? na ulitumia sample ya watu wangapi?
au ni mihemko imekupata?
 
Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
7db15487b406304c0c1c56b97d45cdaf.jpg

056a08cc199a0e6c755866d488d6a397.jpg

Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit

Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Kumbe uko huku kutafuta mabuzi?
 
Khaaa wewe sasa si unatuonea kutusema na uchovu wetu.?
 
Back
Top Bottom