geophrey140
Senior Member
- May 4, 2013
- 134
- 208
hivi huwa watu wanafikilia nini humu ndani au wana hisi tupo kwenye mitandao ya kuwekaweka ujinga .......Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
![]()
![]()
Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi
1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit
Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]