Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheeeee haloooooJF Ndio Ngome Pekee Iliyobakia Na Wanaume Tunaoitwa Gentleman Huko kwengine Tumewaachia Wanaume Mnaojinadi Kutwa Mnafanyabiashara Za Sura, Makalio, Mapaja Mazuri na Shape Najua Huko Ulikotoka Hupigwi Kuni za Kutosha Ndio Maana tangu Uingie HuMu Huishi Kuweweseka Punguza Genye Hizo Vitu Huziwezi
Nimeona hako tutako twako tu twenye avatar, tayari mshipa ushanipanda[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] PM yako iko wazi nije? Mi sikubali kuadhirika[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Labda ya kupiga kazi mkuu,sijui nani? alipewa humu akashindwa kumridhisha labda ajaribu kwa wengine naamini hatajutiaWachovu Wa nn???
na upati hata mia! nenda kwa mzee wa mia 900 atakupatia!Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
![]()
![]()
Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi
1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit
Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Sikutaki kimapenzi mtanashati!Nakutaka kimapenzi mrembo
Pm nianze na weweHabari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
![]()
![]()
Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi
1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit
Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]