Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

Kama unajiunga mitandaoni kutafuta wanaume Wa kununua vile !!
 
sawa wewe endelea kujiuza kwenye mitandao, ukiingia kwenye Gridi ya Taifa hautaomba ushauri Instagram, twitter, baddoo au reddit....utakujaa humu humu Jf
 
Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
7db15487b406304c0c1c56b97d45cdaf.jpg

056a08cc199a0e6c755866d488d6a397.jpg

Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit

Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Pumbavuuuuuu, ina maana wewe upo humu kutafuta wanaume wa kukutia ama umefuata nini humu. Hebu funguka bana usiongelee pembeni pembeni.
 
Hiyo tabia mbaya sumbai kaianza lini? Maana siku hizi naona anahubir kuwa wao hawawezi kuwa na mwanamke mmoja.
hahahahaha. Hela Dada zinambadili mtu.
Anachepuka kama vile ana mapepo.
Haya sumbai ukuje kwenye kikao huku ukweli. Usutwee na shemeji yako .
 
Back
Top Bottom