zachariano alexido
Senior Member
- Mar 10, 2026
- 178
- 460
Hamna mana ya kuoa, Sasa si bora nikae singo, shida tunachoka sana, unakuta nguo hazijafuliwa, viatu havijafulowa, nishike ndoo nianze kufua mwenyewe? Hapo lazima nionekane mchafu mana nilipo owa jukumu la usafi wa nguo na mahala pa chumba nilikukabidhi wewe.Huna kisingzio chochote wewe kua mchafu kama mkeo ni ngumbaru tafadhari jipende mwenyewe
Kwani huu uzi unaishia wapiIF ANYTIME YOU CLIMB WIFE AND SHE TAKES IN/PREGNANT THANK GOD AND KEEP QUIET.
Pregnancy is not a small miracle.
If you βclimbβ your wife and she takes in, sir, pause and give thanks.
So if your home hears the news, βHoney, Iβm pregnantβ.
Donβt use it to mock another family.
Don't tell the man that he doesn't know how to impregnate the wife.
And for those still waiting, may joy knock on your door soon.
Our Marriages must work.
Stella Justice Nnennaya
Legal and Marriage Clinic with Stella
Achana na ndoa ni utapeli mtuputuHamna mana ya kuoa, Sasa si bora nikae singo, shida tunachoka sana, unakuta nguo hazijafuliwa, viatu havijafulowa, nishike ndoo nianze kufua mwenyewe? Hapo lazima nionekane mchafu mana nilipo owa jukumu la usafi wa nguo na mahala pa chumba nilikukabidhi wewe.
Uzoefu kwenye 1&2πYeah hata kama mmegombana hakuna kuombana msamaha kwa mdomo
Sasa hivi sio kanda ya ziwa tu kuna matukio mengi sana yanasikika kila kanda siku hizi! Kama hilo imagine ni la mpembaππΎπ€ inaonekana kanda ya ziwa hili swala ni kubwa?
Dahh inaumiza unajua eehπ’Weee unge mfanya nini kada alafu kigogo? mzazi kabariki, anapatiapo hela ya mboga akikwambia uhudumie wewe familia yake utaweza?
Yeah mna viacha vile vitu huwa vinapatana tu vyenyewe, na bao la kutoka kwenye ugomvi huwa mnalisikilizia kisogoniπUzoefu kwenye 1&2π
Kaskazini hasa klim umri wa binti kuolewa mara nyingi ni kwanzia 30Sasa hivi sio kanda ya ziwa tu kuna matukio mengi sana yanasikika kila kanda siku hizi! Kama hilo imagine ni la mpembaππΎ
Huyo anakuwa kashajielewa! Sasa hawa wanaotaka uolewe hujielewi hata kuoga hujajua bado, sijui wanawazia kiungo kipiππΎKaskazini hasa klim umri wa binti kuolewa mara nyingi ni kwanzia 30
Kwetu ni kawaida ila mkioana wadogo sna kila mtu atashangaaHuyo anakuwa kashajielewa! Sasa hawa wanaotaka uolewe hujielewi hata kuoga hujajua bado, sijui wanawazia kiungo kipiππΎ
Wangu, akiwa ofisini anaanza message leo naja kukupata yote ππYes. Their own houses.
The same house where they pay the rent.
The same house where they pay the children's school fees.
The same house where they buy the food everyone eats.
Yet at night, the husband is negotiating like a tenant.
βBaby please, I have been asking since yesterday.β
If a husband keeps begging in his own house every day, one day he may stop begging.
And outside the house, there are many women who will not make him beg.
That is the truth many people don't want to say.
Better stop that nansense!!
Stella Justice Nnennaya
Legal and Marriage Clinic with Stella
Usukumani hakuna hata atakaye washangaa kwakwli! Na ukifika huo umri hujaolewa unaitwa majinaKwetu ni kawaida ila mkioana wadogo sna kila mtu atashangaa
Ila we jamaa weweππΎWangu, akiwa ofisini anaanza message leo naja kukupata yote ππ
Mala game la leo lazima nikukalishee baba mwenye gari nyeupe ππ
basi mie rahaaaaa... Sijui nyie mmetolea wapi majambazi ya kuomba mchezo
Mie kuna mda mchana anaileta ofisini naipachuaaa saa saba mchana π
Ofisini :chaiWangu, akiwa ofisini anaanza message leo naja kukupata yote ππ
Mala game la leo lazima nikukalishee baba mwenye gari nyeupe ππ
basi mie rahaaaaa... Sijui nyie mmetolea wapi majambazi ya kuomba mchezo
Mie kuna mda mchana anaileta ofisini naipachuaaa saa saba mchana π
Mabinti wa sikuhizi, mnapuuzia mambo madogo madogo ndio maana mambo yanakuwa sio mambo. Jifunzeni kwa watu wazimaIla we jamaa weweππΎ
Uliwepo kwani hadi iwe chai ππOfisini :chai
Huyo naye ana kaumalaya tu, nikakuletee ofisini kisa nini?Mabinti wa sikuhizi, mnapuuzia mambo madogo madogo ndio maana mambo yanakuwa sio mambo. Jifunzeni kwa watu wazima