Wanaume wengi wanafanikiwa kupitia migongo ya Wanawake

Alafu kesho mtu huyo huyo unamkuta anaparamia nyuzi za ajira😂😂😂😂 na anakifuata hadi pm kuuliza connection kama panya aliemeza sumu akitafuta maji😆😆😆
🤣🤣🤣nmechekaa kwa sauti jamani, sijui kwanini lakini
 
Mkuu ni kweli umekamatwa, hupaswi kuzidiwa akili na maarifa na mkeo.
Halafu usitudhalilishe wanaume wengine kwa kutuweka kundi moja na lako,acha huo ujingaujinga.
wanaume wa ukweli Wana uwezo wa kusimamia mambo yao hata ikitokea wake zao wanaondoka.
 
Kwa Karne hii, hakuna mwanamke darasa la Saba mwenye akili ya ajabu ya biashara!

Darasa la Saba Mwenye akili ya kuitazama laki akaiona milioni kadhaa

Biashara anayezijua darasa la Saba Ni hizi hizi za kawaida ambazo zinajulikana na wote
Kilimo, ufugaji, mgahawa, duka la jumla na rejareja,
Bila Shaka akili unazozungumzia hapa Ni uwezo wa kutunza pesa bila kufuja!

Biashara ni akili Pana zinahitaji Elimu Pana, connection, exposure,

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Naungana na ndugu zako.

Ulimbukeni wa mapenzi unakusumbua.

Epuka kumuamini mwanamke, hata Mwenyezi Mungu alishasema tuishi nao kwa akili.
 
Huu uzi naufananisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…