PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Baada ya video za ngono za Baltasar kuvuja kule nchini Equatorial Guinea na kupelekea mijadala kuibuka sehemu mbalimbali duniani, nimejikuta najiuliza sana.
Kilichopelekea nijiulize ni namna mjadala huo unavyojadiliwa nchini Tanzania, kwa kuwa wa mitandaoni ndiyo hawahawa wanatoka huko mitaani, basi swala hili linajadiliwa mitandaoni na mitaani
Katika kulijadili, wanaume wengi wamejikita kulaumu wanawake na kuwashutumu zaidi wa maofisini akidai Mwanamke hapaswi kuajilwa maofisini bali kushinda nyumbani.
Mashambulizi kwa wanawake yamekuwa ni mengi na mengine yanadharirisha, yote ni sababu ya wanawake wa Equatorial Guinea.
Kabla ya hili, tulikuwa tunasikia trending ya issue ya Diddy kuandaa part na kuwaingili kinyume na maumbile.
Utamaduni wake umekuwa ni kuandaa party, wanakunywa wanakula, na ku party mwisho anawazibua. Mbali ya Diddy, utaratibu huo upo nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania. Wanaangalia mpira pamoja, wanakunywa wote, wanacheza magem, wanakula visinia pamoja lakini mwisho wanakulana.
Sikusikia wanawake wakiwashutumu wanaume kwa saba ya wale kuzibuliwa na kuzibuana.
Wanaume wengi Tanzania wana utampaduni wa kuhudhuria part na kuangalia mipira pamoja, kucheza game pamoja, kunywa pamija tena room na wengine ni kawaida kuingiliana, lakini sikuona wanawae wakiwajumuisha wanaume kwamba wote ni waathirika wa michezo hiyo.
Lakini kwa hili la wanawake wa Equatorial Guinea, limepelekea wanawake wa nchi zingine ikiwemo Tanzania kuwa wahanga wakubwa kuliko wale wa Equatorial Guinea.
Nini kimepelekea wanaume kuwa na mentality za hivi? Sitetei wanawake illa nawasifu kwa uelewa wao, wanaamini watu wao si wahanga na kam app kuna wenye wahanga basi wanaamua kuwa na staha. Tofauti ni wanaume ambao wanaishia kurushia wenzao kila aina ya kashfa wakisahau wenzao pia wana kashfa zao.
Mimi nina uhakika siku wanawake wakiamua kutojizuia kuongea, wakaanza kuropoka basi wanaume wataanza kuogopa hata kusalimiana barabarani au kuongozana popote, kuna watu watagoma hata kuonekana wanapigiana simu na wanaume wenzao, sababu mfumo wa sasa wa maisha ya wanaume umefunikwa na blanket zito sana la kashfa.
Tuwe wastaarabu tu. Tukemee tabia mbovu na za hovyo, lakini tuhakikishe hatufanyi generalization.