Wanaume wengi wanafeli sana, Wanawake ni wastaarabu sana

PakiJinja

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
11,689
Reaction score
25,848
Baada ya video za ngono za Baltasar kuvuja kule nchini Equatorial Guinea na kupelekea mijadala kuibuka sehemu mbalimbali duniani, nimejikuta najiuliza sana.

Kilichopelekea nijiulize ni namna mjadala huo unavyojadiliwa nchini Tanzania, kwa kuwa wa mitandaoni ndiyo hawahawa wanatoka huko mitaani, basi swala hili linajadiliwa mitandaoni na mitaani

Katika kulijadili, wanaume wengi wamejikita kulaumu wanawake na kuwashutumu zaidi wa maofisini akidai Mwanamke hapaswi kuajilwa maofisini bali kushinda nyumbani.

Mashambulizi kwa wanawake yamekuwa ni mengi na mengine yanadharirisha, yote ni sababu ya wanawake wa Equatorial Guinea.

Kabla ya hili, tulikuwa tunasikia trending ya issue ya Diddy kuandaa part na kuwaingili kinyume na maumbile.

Utamaduni wake umekuwa ni kuandaa party, wanakunywa wanakula, na ku party mwisho anawazibua. Mbali ya Diddy, utaratibu huo upo nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania. Wanaangalia mpira pamoja, wanakunywa wote, wanacheza magem, wanakula visinia pamoja lakini mwisho wanakulana.

Sikusikia wanawake wakiwashutumu wanaume kwa saba ya wale kuzibuliwa na kuzibuana.

Wanaume wengi Tanzania wana utampaduni wa kuhudhuria part na kuangalia mipira pamoja, kucheza game pamoja, kunywa pamija tena room na wengine ni kawaida kuingiliana, lakini sikuona wanawae wakiwajumuisha wanaume kwamba wote ni waathirika wa michezo hiyo.

Lakini kwa hili la wanawake wa Equatorial Guinea, limepelekea wanawake wa nchi zingine ikiwemo Tanzania kuwa wahanga wakubwa kuliko wale wa Equatorial Guinea.

Nini kimepelekea wanaume kuwa na mentality za hivi? Sitetei wanawake illa nawasifu kwa uelewa wao, wanaamini watu wao si wahanga na kam app kuna wenye wahanga basi wanaamua kuwa na staha. Tofauti ni wanaume ambao wanaishia kurushia wenzao kila aina ya kashfa wakisahau wenzao pia wana kashfa zao.

Mimi nina uhakika siku wanawake wakiamua kutojizuia kuongea, wakaanza kuropoka basi wanaume wataanza kuogopa hata kusalimiana barabarani au kuongozana popote, kuna watu watagoma hata kuonekana wanapigiana simu na wanaume wenzao, sababu mfumo wa sasa wa maisha ya wanaume umefunikwa na blanket zito sana la kashfa.

Tuwe wastaarabu tu. Tukemee tabia mbovu na za hovyo, lakini tuhakikishe hatufanyi generalization.
 
Kabla ya kujiuliza hayo maswali

Jiulize kwanza kwenye hizo video Kuna mwanamke alibakwa?

Ulishawai kutongozwa ukakataa na ulipokataa mwanaume alikubaka?

Je umeona watoto under age uko kwenye hizo video?

Ukijiuliza hayo maswali utakuja na conclusion kwamba wanawake ndio chanzo Cha matatizo yote duniani
 
Ushoga upo lakini unakuzwa hasa kwa nchi yetu,nina imani wanaume 90% wana malinda yao kamili na ukimgusa hata tako utachezea kipigo cha kufa mtu

Tukirejea yaliyofanyika guinea hata hapa yanafanyika sana,mimi pia nikiwepo, nina picha na video za mke wa mtu tukiwa chumbani.
Tunachosema ni kwamba hata kama una ndoa si kinga ya kuzuia mwenza wako asifanye uchafu iwe mwanamke / mwanaume.
Lakini hata sisi tunalalamikiwa sana na wanawake kwakuwa na michepuko mingi na kuzaa watoto nje ya ndoa.
Hilo la ushoga sidhani kama lipo kwa kiwango kikubwa kuna wajinga wachache tu wanajihusisha.
 
Kabla ya kujiuliza hayo maswali

Jiulize kwanza kwenye hizo video Kuna mwanamke alibakwa?

Ulishawai kutongozwa ukakataa na ulipokataa mwanaume alikubaka?

Je umeona watoto under age uko kwenye hizo video?

Ukijiuliza hayo maswali utakuja na conclusion kwamba wanawake ndio chanzo Cha matatizo yote duniani
Labda kama jaujanielewa Chief, mimi sijawatete wale wa kwenye hizo video, bali napinga generalization. Ukifuatilia mijadala utaona wanaoshambuliwa siyo wale bali hawa.
Hata wanaume kwenye hizo parties na mijumuiko yao unadhani wanabakana basi? Conditions zinakuwa zinaelewka mapema kabla mtu hajaanza kuhudhuriwa ila kinywaji huruhusiwa kwa mtu ambaye anaona bila kustua hataweza
 
Ushoga upo lakini unakuzwa hasa kwa nchi yetu,nina imani 90% wana malinda yao kamili na ukimgusa hata tako utachezea kipigo cha kufa mtu.
Kuna vitu bado hujavijua, sijui kuhusu asilimia, inawezekana umefanya utafiti, pia silengi kukutia hofu, ila hali ya wanaume kuingiliana inatisha.
Tukirejea yaliyofanyika guinea hata hapa yanafanyika sana,mimi pia nikiwepo, nina picha na video za mke wa mtu tukiwa chumbani.
So, huyo mmoja unataka tukubaliane tumtumie kama sababu ya kushambuli kila mwanamke?
Tunachosema ni kwamba hata kama una ndoa si kinga ya kuzuia mwenza wako asifanye uchafu iwe mwanamke / mwanaume.
upo sahihi kabisa, ndoa si kinga, bali utashi wetu.
Lakini hata sisi tunalalamikiwa sana na wanawake kwakuwa na michepuko mingi na kuzaa watoto nje ya ndoa.
Hili limekuwa kama kawaida siku hizi.
Hilo la ushoga sidhani kama lipo kwa kiwango kikubwa kuna wajinga wachache tu wanajihusisha.
Kwa uzoefu wangu, hili la ushoga katika rafiki zako 6, amini wanne hao wawli waliobaki usiwahukumu wala usiseme chochote, hawakuhusu.
 
Labda kama jaujanielewa Chief, mimi sijawatete wale wa kwenye hizo video, bali napinga generalization. Ukifuatilia mijadala utaona wanaoshambuliwa siyo wale bali hawa.
Hata wanaume kwenye hizo parties na mijumuiko yao unadhani wanabakana basi? Conditions zinakuwa zinaelewka mapema kabla mtu hajaanza kuhudhuriwa ila kinywaji huruhusiwa kwa mtu ambaye anaona bila kustua hataweza
P didy ni mtu wa magharibi

Hapa tuna discuss mwanamke mwafrika Tena mke wa mtu anawezaje kutombwa ofisini au chooni na mtu ambaye sio mmewe

Wakati anayo ndoa

Piddy wale ni washikaji zake na wote ukiwafatilia hawana wake hawana ndoa sasa tutawashangaa vipi wamagharibi ambao hawana ndoa

Tuache kuwashangaa waafirika wanawake wenye ndoa zaidi ya 400 kufanyiwa vile ofisini, chooni, bafuni, kwenye magari, wengine nje kabisa sehemu za wazi.

Huu ni uzinzi na tamaa na mapepo ya kingono!!!!

Utatetea lakini haiingii akilini kwa mwanamke wa kiafrica kufanya vile
 
Kwanin wakubali kupigwa picha HAWA 400 wangekataa kupigwa picha/video story ingekuwa nyepes UDHAIFU MKUBWA naku waona hawa viumbe hawana akil na hawatakuwa na akil,,, insh ya pididy imekaa ki nadharia hawa WANAUME walio fukunuriwa wote wana zungumza ila USHAHIDI WA VIDEO/ ama picha hakuna na hata kama ipo imekaa k blind uhalisia ziro,,, ila KWA MWAMBA BALTAZAR wanawake wameonesha UDHAIFU mkubwaaaa
 
Kuna vitu bado hujavijua, sijui kuhusu asilimia, inawezekana umefanya utafiti, pia silengi kukutia hofu, ila hali ya wanaume kuingiliana inatisha.

So, huyo mmoja unataka tukubaliane tumtumie kama sababu ya kushambuli kila mwanamke?

upo sahihi kabisa, ndoa si kinga, bali utashi wetu.

Hili limekuwa kama kawaida siku hizi.

Kwa uzoefu wangu, hili la ushoga katika rafiki zako 6, amini wanne hao wawli waliobaki usiwahukumu wala usiseme chochote, hawakuhusu.
Hee ina maana kati ya wanaume 600 mia mbili wanakulana?
 
P didy ni mtu wa magharibi
Kwa Diddy huwa wanaenda hadi waafrika, na maisha na life style ya Diddy ni kioo kwa wengi na yeye ni kama mwingozo kwenye tasnia. Hahitaji kuja Afrika kufanya utambulisho wa jambo lolote, afanyacho yeye Afrika wataiga tu tena kwa gharama
Hapa tuna discuss mwanamke mwafrika Tena mke wa mtu anawezaje kutombwa ofisini au chooni na mtu ambaye sio mmewe.
Hao mbona wanatombeka sana, hata kabla ya kuanza kwenda maofisini walilika mitoni, walilika mashambani wakalika visimani, wakalika safarini, misibani, kwenye sherehe tena enzi hizo majanini hadi kwenye mazizi ya ng'ombe. Ila tusiwashambulie wasiohusika ingawa tunaweza tukawa tahadharisha
Wakati anayo ndoa

Piddy wale ni washikaji zake na wote ukiwafatilia hawana wake hawana ndoa sasa tutawashangaa vipi wamagharibi ambao hawana ndoa
Hayo ya Diddy yanatokea sana bongo, tena watu wana ndoa zao na watoto, ndiyo maana nimeonya kuwa wanawake wakiamua kufungua vinywa vyao nchini hapatatosha hapo.
Tuache kuwashangaa waafirika wanawake wenye ndoa zaidi ya 400 kufanyiwa vile ofisini, chooni, bafuni, kwenye magari, wengine nje kabisa sehemu za wazi.
Wanawake wakianza kuongea nakuhakikishia mtayasahau hayo Guenea
Huu ni uzinzi na tamaa na mapepo ya kingono!!!!

Utatetea lakini haiingii akilini kwa mwanamke wa kiafrica kufanya vile.
Hakuna popote ambapo nimewatetea, nilichokiongea ni tuache kufanya generalization, kwa kushambulia kila Mwanamke. Faida gani itapatikana kwa kushambulia kila Mwanamke mwenye anayefanya kazi Tanzania sababu ya matendo ya wanawake wa Equatorial Guinea wenye mapepo yao?
 
Baada ya video za ngono za Baltasar kuvuja kule nchini Equatorial Guinea na kupelekea mijadala kuibuka sehemu mbalimbali duniani, nimejikuta najiuliza sana.
Kilichopelekea nijiulize ni namna mjadala huo unavyojadiliwa nchini Tanzania, kwa kuwa wa mitandaoni ndiyo hawahawa wanatoka huko mitaani, basi swala hili linajadiliwa mitandaoni na mitaani

Katika kulijadili, wanaume wengi wamejikita kulaumu wanawake na kuwashutumu zaidi wa maofisini akidai Mwanamke hapaswi kuajilwa maofisini bali kushinda nyumbani. Mashambulizi kwa wanawake yamekuwa ni mengi na mengine yanadharirisha, yote ni sababu ya wanawake wa Equatorial Guinea.

Kabla ya hili, tulikuwa tunasikia trending ya issue ya Diddy kuandaa part na kuwaingili kinyume na maumbile (vijambio/vinyeo). Utamaduni wake umekuwa ni kuandaa party, wpanakunywa wanakula, na ku party mwisho anawazibua.

Sikusikia wanawake wakiwashutumu wanaume kwa kuzibuliwa na kuzibuani. Wanaume wengi Tanzania wana utampaduni wa kuhudhuria part na kuangalia mipira pamoja, kucheza game pamoja, kunywa pamija tena room na wengine ni kawaida kuingiliana, lakini sikuona wanawae wakiwajumuisha wanaume kwamba wote ni waathirika wa michezo hiyo.

Lakini kwa hili la wanawake wa Equatorial Guinea, limepelekea wanawake wa nchi zingine ikiwemo Tanzania kuwa wahanga wakubwa kuliko wale wa Equatorial Guinea.
Nini kimepelekea wanaume kuwa na mentality za hivi? Sitetei wanawake illa nawasifu kwa uelewa wao, wanaamini watu wao si wahanga na kam app kuna wenye wahanga basi wanaamua kuwa na staha. Tofauti ni wanaume ambao wanaishia kurushia wenzao kila aina ya kashfa wakisahau wenzao pia wana kashfa zao.

Mimi nina uhakika siku wanawake wakiamua kutojizuia kuongea, wakaanza kuropoka basi wanaume wataanza kuogopa hata kusalimiana barabarani au kuongozana popote, kuna watu watagoma hata kuonekana wanapigiana simu na wanaume wenzao, sababu mfumo wa sasa wa maisha ya wanaume umefunikwa na blanket zito sana la kashfa.

Tuwe wastaarabu tu. Tukemee tabia mbovu na za hovyo, lakini tuhakikishe hatufanyi generalization.
My friends, ladies and gentlemen
Tafuteni pesa, kuleni chakula, matunda na mnywe maziwa na maji yakutosha vizuri sana.

kwenye game,
mwanaume atainjoy kupiga show ya nguvu na kuridhika, na mwanamke nae ataridhika na show kali pia.

Lakini hii ya kupiga kazi sana ofisini bila kula vyakula vya maana, halafu unafika home umechoka, kwenye game mnambwelambwela tu, hamna maajabu yoyote, hamna lolote lolote la maana, managusanagusana tu.

Matokeo yake mtalaumiana sana tu aise 🐒
 
Baada ya video za ngono za Baltasar kuvuja kule nchini Equatorial Guinea na kupelekea mijadala kuibuka sehemu mbalimbali duniani, nimejikuta najiuliza sana.
Kilichopelekea nijiulize ni namna mjadala huo unavyojadiliwa nchini Tanzania, kwa kuwa wa mitandaoni ndiyo hawahawa wanatoka huko mitaani, basi swala hili linajadiliwa mitandaoni na mitaani

Katika kulijadili, wanaume wengi wamejikita kulaumu wanawake na kuwashutumu zaidi wa maofisini akidai Mwanamke hapaswi kuajilwa maofisini bali kushinda nyumbani. Mashambulizi kwa wanawake yamekuwa ni mengi na mengine yanadharirisha, yote ni sababu ya wanawake wa Equatorial Guinea.

Kabla ya hili, tulikuwa tunasikia trending ya issue ya Diddy kuandaa part na kuwaingili kinyume na maumbile (vijambio/vinyeo). Utamaduni wake umekuwa ni kuandaa party, wpanakunywa wanakula, na ku party mwisho anawazibua.

Sikusikia wanawake wakiwashutumu wanaume kwa kuzibuliwa na kuzibuani. Wanaume wengi Tanzania wana utampaduni wa kuhudhuria part na kuangalia mipira pamoja, kucheza game pamoja, kunywa pamija tena room na wengine ni kawaida kuingiliana, lakini sikuona wanawae wakiwajumuisha wanaume kwamba wote ni waathirika wa michezo hiyo.

Lakini kwa hili la wanawake wa Equatorial Guinea, limepelekea wanawake wa nchi zingine ikiwemo Tanzania kuwa wahanga wakubwa kuliko wale wa Equatorial Guinea.
Nini kimepelekea wanaume kuwa na mentality za hivi? Sitetei wanawake illa nawasifu kwa uelewa wao, wanaamini watu wao si wahanga na kam app kuna wenye wahanga basi wanaamua kuwa na staha. Tofauti ni wanaume ambao wanaishia kurushia wenzao kila aina ya kashfa wakisahau wenzao pia wana kashfa zao.

Mimi nina uhakika siku wanawake wakiamua kutojizuia kuongea, wakaanza kuropoka basi wanaume wataanza kuogopa hata kusalimiana barabarani au kuongozana popote, kuna watu watagoma hata kuonekana wanapigiana simu na wanaume wenzao, sababu mfumo wa sasa wa maisha ya wanaume umefunikwa na blanket zito sana la kashfa.

Tuwe wastaarabu tu. Tukemee tabia mbovu na za hovyo, lakini tuhakikishe hatufanyi generalization.
Hili la Baritazar kinacho fanya wanawake kuandamwa sio kwamba wanawake wanetoka nje ya doa zao. Kinacho shagaza dunia ni inawezekanaje mwanaume mmoja akashawishi wanawake zaidi ya 400 na asiwepo hata mke mmoja kulalamika au kumtegesha ili afumaniwe?
 
wanawake ni mabumunda kamwe usimuamini mwanamke
HIi comment imenifanya nimecheka sana.
Haya ndiyo mabumunda
images-3.jpg

Ingawa wengine huyaita haya kuwa ndiyo mabumunda
tumblr_05d4a182e1a345754ae1d799e3ec078e_2d9c14db_500.jpg
 
The way walivyokuwa wanatoa ushirikiano,, binafsi inanipa picha ya moja kwa moja kuwa hata hawa wa kwetu uwezekano wa kuyafanya hayo wakiwa makazini au majumbani ni above 80% 😎🤝🏽
 
Hata wewe mkeo watu wanamgonga hujui
Sababu hawajarekodi tu.

Fear woman
 
Back
Top Bottom