Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini,
Ukichunguza vizuri mahusiano mengi sahivi,
Mdada akiwa na birthday atategemea kupokea outing, lunch, and gifts toka kwa boyfriend wake, ila boyfriend akiwa na birthday mdada hatompa boyfriend kitu chochote.
Mkiwa mnatembea mtaani, mdada akiona kitu kizuri kitachomfaa, k.v kiatu, nguo atategemea anunuliwe na boyfriend wake, ila akiona kitu kizuri kitakachomfaa boyfriend wake, hatotoa hela yake mfukoni amnunulie, hata ikitokea siku amemnunulia, 8/10 hiyo zawadi haijatoka moyoni, keshapiga hesabu kiasi cha hela ambayo boyfriend amewahi mpa tangu wameanza mahusiano, sehemu ya iyo hela ndo anamnunulia nayo zawadi, au anamnunulia boyfriend wake zawadi akitegemea kuwa baada ya mda flani atampiga kizinga cha kiasi kadhaa, ili hela yake aliotumia kukununulia zawadi irudi.
Relationships are supposed to be mutual, not one way. Mwanaume akiweka 80% effort mdada aweke 60% ila mahusiano mengi mwanaume anaweka 95% effort, mdada anaweka 5%
Wanaume wengi waliopo kwenye mahusiano wanateseka na kunyonywa in name of love/pussy ili tu wasionekane wapo single.
Wanaume wanao-enjoy a mutually beneficial & fulfilling relationship ni wachache. Hao ni wanaume waliobahatika kupata wanawake wa maana.