Hello JF members..!
Nimetumia ID tofauti makusudi ili kutoa tahadhari kwa wadada wenzangu wanao respond kwenye posts za baadhi ya wanaume wanaotafuta wenzi humu Love connect!
Nimerespond kwa post kama 4 tofauti tofauti za wanaume wanaotangaza wanatafuta wachumba humu, yaani ni waongo na lengo lao kubwa wanataka tuu sex..! Hawako serious kabisa na kwa hii tabia wanaharibu maana ya hili jukwaa kwani kuna baadhi yetu tuko serious..!
Ndio uchumba unaanza hivyo kweli?? Wanaume wenye tabia hii jirekebisheni..!

- Kitu kinachoshtua ni kwamba ukirespond tuu kwa PM hapo hapo anaanza kukuita My love, honey, darling wakati hata hajakuona na hajui kama akisha kuona mtamatch..!
- Ikitokea umeonana nae, anakuwa hana la kuzungumza la maana zaidi ya lini sasa tutafanya sex??