Wanaume wenye magari: Mungu anawaona

Wanaume wenye magari: Mungu anawaona

Wale wa TZ 11 silaha yetu stori nyingi za uongo na kweli,ili husimchoshe mwenzio wakati mnatembea.
 
Mkuu binadamu tunabadilikabadilika sana. Ukapata gari mfukoni pesa kidogo u HB unapotea

Mimi nachoshukuru ni kuwa tangu niwe na gari gharama za gesti zimepungua maradufu.

If you know you know 😉
 
Gari ndy uchawi wa kwanza kwa mwanaume kuloga wadada wapenda slope.

Kuna dada mmoja wakati nipo Moro, alikuwa na kibwana chake, hakujua kwamba ni konda wa Noah za kwenda Dumila, kila mchana anakuja nayo basi full madoido mdada anapewa tu hela, kidogo mimba akaanza kuja kwa manati sana, mara kapotea mazima, siku kaenda Msamvu kaikuta ile Noah kuuliza, anaambiwa mbona yule ni konda tu, tena siyo kila siku ni kama mpiga debe alidata, basi tena akapewa zawadi ya mtoto, Baba kala kona mbele huko.
 
kuwa na gari ni vishawishi kwa sisi wanaume manake wanawake nyie ndio wachokozi!
 
Mimi nachoshukuru ni kuwa tangu niwe na gari gharama za gesti zimepungua maradufu.

If you know you know [emoji6]
Ndo maana staki kudate mwenye gari,akishampa mwanamke lift kuna asilimia 90 ya kumnyapua ndani ya gari maana wakiwa mle kwenye gari si kwa vishawishi vile hasa vitoto vya shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom