Wanaume wenye magari: Mungu anawaona

Wanaume wenye magari: Mungu anawaona

Sawa tumekuelewa Dada ila wengine ndo tulivyo tangu naanza kujua mahusiano bahati mbaya au nzuri sijawahi kutana na mwanaume asiwe na gari na si gari tu na vingine vinavyozidi gari kuliko unavyodhani. Gari lisikufanye umu judge mtu vibaya. Kuna wanaume wana kila kitu na wana upendo wa dhati, hawana nyodo.( sisi wanawake wa kawaida hivi vitu tunavishuhudia kila Siku).

Mimi sina hataa baiskeli ila swala la gari naliona kama basic need yaan sio swala la kushangaa eti mkaka Fulani ana gari luckyline nipagawe? No way sijawahi pagawisha na gari maana mm wenye magari ya maana ndo nakutana nao.sasa niwakatae wakati ndo uwa nakutana nao?

Dear mleta mada awe na gari asiwe na gari kama hakupendi kutoka moyoni. manyanyaso yako pae pale.

Nimalize kwa kusema " its better to cry in a Mercedes Benz than a bicycle".

Dunia haiko fair, sisi Dada zako tumepitia mengi, we live once acha kujitesa ukimpata awe nayo asiwe nayo akikupenda na ukampenda nenda dia muda tunaishi duniani ni mfupi sana. Omba Mungu akupe afya njema.

Happy boxing day. Sijui mm leo nafungua nini?
Zen ucseme hujawai kutana n wasio n magari, utakutana nao vipi ikiwa unawaepuka?

In a simple mean, ww unapenda wanaume wenye magari n huo ndo ulimbukeni wenyewe ss
 
Back
Top Bottom