moja ya mapungufu makubwa ya binti huyu ni kuamini kuwa dona inasaidia kuleta nguvu ya mgegedo,ugali ndo ulio tufikisha hapa kuanzia uzembe darasani,akili ndogo,iQ ndogo,vyote vimesababishwa na ulaji wa ugali,
nchi za ulaya na kiarabu pamoja na kwamba ni wakulima wazuri sana wa dona,lakini hakuna mwarabu au mzungu anayekula dona bali mahindi ni chakula cha mifugo.
wenzetu hutegemea sana chakula kitokanacho na shayiri ama ngano kulisha mataifa yao,wewe bado unafikiria kula chakula sawa na ng'ombe au nguruwe ,hapo bado unafikiri utatoa kizazi chenye kufikiri,chenye nguvu za kugegeda.
ulishawahi kujiuliza ni kwa nini ukimaliza kunywa uji au kula ugali unapata usingizi papo hapo,dona ni mwanaharamu kwa afya ya ubongo bora hata ya Kvant inayokimbilia kwenye nyeti.