Wanaume wenye"six pack" hutega wanaume zao sio wanawake

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huu uzi umewafanya vijana wa 6pack wamekua wakali kwelikweli, tulivyokua jando kuna mzee mmoja alitukanya tusipende sana kupiga chuma, alikua anasema "ukinyanyua sana vitu vizito hua misuli ya mwili inakaza kwa juu halafu kwa chini inalegea" hii kauli kila nikiifiria naona kama ina kaukweli flani hivi.View attachment 3161999View attachment 3162000View attachment 3162001View attachment 3162002
Muache wivu na watu waliotengeneza miili yao na mbaki na minyama uzembe yenu
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Niende kwenye mada isemayo wanaume wenye six pack ni kwa ajili ya wanaume wenzao sio wanawake.

Wanaume hao baadhi yao hutumiwa na vigogo kuwaburudisha.

Wengi wao uanaume haupo tena ila kwa nje wanaonekana ni wanaume.

Ni jambo la kusikitisha kwakweli wanaume hasa vijana wetu wa sasa.

Kutwa wanaume hao wanashinda JIM kwa kufanya mazoezi kwa lengo la kuwinda yaani kutega wanaume wenzao.

Ajabu ni kuwa wanawake hudhania kuwa wanaume Hawa hufanya mazoezi kwaajili yao wao, kumbe sio.

Unakuta wanawake wanavutiwa nao sana lakini hawana uanaume.

Wengi wao wameshabomolewa huko nyuma zamani wamebaki na vifua tu.

Wanavaa mavazi mazuri ya kuwabana vifua vyao kuwatega wanaume wenzao.

Nasemaje wanavaa vikaptula tena vyeupe ila sio kwa ajili yenu wanawake ni kwa wanaume wenzio wanaowageuza.

Nyie wanawake endeleeni kuwapenda hao wanaume ila hawana mpango na nyie wao. Wanawinda kama nyie mnavyowinda.

Kuna mwanamke mmoja analia kwa kwikwi hapa aliolewa na six pack Sasa anajutraaa...
Wewe utakuwa umekataliwa na mwenye six packs kwaiyo umeamua kuja kuwakandia humu pole sana njoo kwangu baby nina 2packs
 
Huyo mzee yeye misuli yake ya chini ilishalegea kama alivyokwambia?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yule muhenga ni mtu wa kazi za shamba, anapiga jembe hatari ila hanyanyui vyuma, ana wake wanne na wajukuu kibao.
images-19.jpg
 
nilisikitika sana nilipokuja kusikia kuwa mabaunsa wengi hawanaga marinda. hivi shida ni nini? na hii ni dunia nzima.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Niende kwenye mada isemayo wanaume wenye six pack ni kwa ajili ya wanaume wenzao sio wanawake.

Wanaume hao baadhi yao hutumiwa na vigogo kuwaburudisha.

Wengi wao uanaume haupo tena ila kwa nje wanaonekana ni wanaume.

Ni jambo la kusikitisha kwakweli wanaume hasa vijana wetu wa sasa.

Kutwa wanaume hao wanashinda JIM kwa kufanya mazoezi kwa lengo la kuwinda yaani kutega wanaume wenzao.

Ajabu ni kuwa wanawake hudhania kuwa wanaume Hawa hufanya mazoezi kwaajili yao wao, kumbe sio.

Unakuta wanawake wanavutiwa nao sana lakini hawana uanaume.

Wengi wao wameshabomolewa huko nyuma zamani wamebaki na vifua tu.

Wanavaa mavazi mazuri ya kuwabana vifua vyao kuwatega wanaume wenzao.

Nasemaje wanavaa vikaptula tena vyeupe ila sio kwa ajili yenu wanawake ni kwa wanaume wenzio wanaowageuza.

Nyie wanawake endeleeni kuwapenda hao wanaume ila hawana mpango na nyie wao. Wanawinda kama nyie mnavyowinda.

Kuna mwanamke mmoja analia kwa kwikwi hapa aliolewa na six pack Sasa anajutraaa...
Wewe haya umeyajuaje?
 
Six Packs ni nini
Ni misuri ya tumbo ambayo inaonekana zaidi endapo mtu atafanya mazoezi ya Cardio na sehemu ya turbo mafuta kupungua na misuli kutuna...THAT.

Hii definition ya Six Pack sioni palipotajwa ushoga, anyway Aggy pitahuku hana Six pack, James delicious hana Six pack, Lokole, Noel, Bobrisky, kisura wa mbea, mskari wa zenji, kaoge, Scolfid....list to the Moon.

Mashoga wasiokuwa na Six pack ni wengi kuliko wenye Six pack, kuna mashoga wengi mtaani kuliko gym, nikikwambia unitajie shoga hata mmoja mwenye Six pack huwezi taja hata mmoja.
aliyeleta huu ndiye shoga mwenyewe
 
nilisikitika sana nilipokuja kusikia kuwa mabaunsa wengi hawanaga marinda. hivi shida ni nini? na hii ni dunia nzima.
Kuna daktari bingwa wa misuli (Orthopedic) alikua anasema kila unaponyanyua vitu vizito misuli ya chini ndio hua inakaza zaidi kuliko misuli yoyote katika mwili (ndio maana hata ukishindwa kunyanyua chuma trainer wako atakwambia kaza kalio akimaaniasha ukaze mkunu) so ukishashusha chuma chini ile misuli ya mkunu inaanza kurelax, so zoezi la kukaza na kurelax mara kwa mara kwa misuli ya mkunu hupelekea misuli kua legevu na mwisho wake ndio mtoto wa kiume kutamani mtu wa kumkaza misuli yake kwa kipande cha nyama.
Unaambiwa hata hizi gym zinazochipukia siku hizi kwa kasi mpaka vijijini ni mpango maalum wa mabeberu kutekeleza ajenda yao.
Na dada zetu na wenyewe wameingizwa kwenye huo mkumbo masikini, wanaenda gym kubebeshwa chuma huku wanapiga squats kwa kudanganyana wanaongeza makalio kumbe masikini wanaenda kubomolewa misuli ya makalio.
images-18.jpg
 
Kuna daktari bingwa wa misuli (Orthopedic) alikua anasema kila unaponyanyua vitu vizito misuli ya chini ndio hua inakaza zaidi kuliko misuli yoyote katika mwili (ndio maana hata ukishindwa kunyanyua chuma trainer wako atakwambia kaza kalio akimaaniasha ukaze mkunu) so ukishashusha chuma chini ile misuli ya mkunu inaanza kurelax, so zoezi la kukaza na kurelax mara kwa mara kwa misuli ya mkunu hupelekea misuli kua legevu na mwisho wake ndio mtoto wa kiume kutamani mtu wa kumkaza misuli yake kwa kipande cha nyama.
Unaambiwa hata hizi gym zinazochipukia siku hizi kwa kasi mpaka vijijini ni mpango maalum wa mabeberu kutekeleza ajenda yao.
Na dada zetu na wenyewe wameingizwa kwenye huo mkumbo masikini, wanaenda gym kubebeshwa chuma huku wanapiga squats kwa kudanganyana wanaongeza makalio kumbe masikini wanaenda kubomolewa misuli ya makalio. View attachment 3162992
Hiyo picha uliyotuma katarget chini sawa
 
Back
Top Bottom