Wanaume wenye"six pack" hutega wanaume zao sio wanawake

Muache wivu na watu waliotengeneza miili yao na mbaki na minyama uzembe yenu
 
Wewe utakuwa umekataliwa na mwenye six packs kwaiyo umeamua kuja kuwakandia humu pole sana njoo kwangu baby nina 2packs
 
nilisikitika sana nilipokuja kusikia kuwa mabaunsa wengi hawanaga marinda. hivi shida ni nini? na hii ni dunia nzima.
 
Wewe haya umeyajuaje?
 
aliyeleta huu ndiye shoga mwenyewe
 
nilisikitika sana nilipokuja kusikia kuwa mabaunsa wengi hawanaga marinda. hivi shida ni nini? na hii ni dunia nzima.
Kuna daktari bingwa wa misuli (Orthopedic) alikua anasema kila unaponyanyua vitu vizito misuli ya chini ndio hua inakaza zaidi kuliko misuli yoyote katika mwili (ndio maana hata ukishindwa kunyanyua chuma trainer wako atakwambia kaza kalio akimaaniasha ukaze mkunu) so ukishashusha chuma chini ile misuli ya mkunu inaanza kurelax, so zoezi la kukaza na kurelax mara kwa mara kwa misuli ya mkunu hupelekea misuli kua legevu na mwisho wake ndio mtoto wa kiume kutamani mtu wa kumkaza misuli yake kwa kipande cha nyama.
Unaambiwa hata hizi gym zinazochipukia siku hizi kwa kasi mpaka vijijini ni mpango maalum wa mabeberu kutekeleza ajenda yao.
Na dada zetu na wenyewe wameingizwa kwenye huo mkumbo masikini, wanaenda gym kubebeshwa chuma huku wanapiga squats kwa kudanganyana wanaongeza makalio kumbe masikini wanaenda kubomolewa misuli ya makalio.
 
Hiyo picha uliyotuma katarget chini sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…