Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Umeandika kweli tena wanaume wenye sura ya kiume na ngumu huwa na upendo ni ma husband material wazuri, aunty yangu mrembo ila mumewe sasa, ila ndo ana mpenda hatari
Hahaha nimecheka mpaka nimemwaga henesy yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…