Amebarikiwa mama aliyekuzaa, lina kheri tumbo lililokuzaa.
Hizi busara huwa unazitoa wapi uniazime kidogo?
Apende tu jicho wala haina tabuNao ni wapenda jicho
hapana mara 6 kwa wiki tu!..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na wewe unataka kila siku
Mfyuuuuuuuuuuuuuu!!dodo limekwivaaaaaaa!!![emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Ulishaiona sura yangu? Basi ndo kama hiyo.
Nilienda kusambaza upendo kwa watu wote tu!..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapana mara 6 kwa wiki tu!..
eti me napenda chura, akati vyangu vi portable tu!.
Nilienda kusambaza upendo kwa watu wote tu!..
eti me napenda chura, akati vyangu vi portable tu!.
Ubarikiwe sana mkuu! maana ni wachache sana wenye hofu ya MUNGU.Na pia mwenye hofu ya Mungu.
Ka tecno wereva kamegoma kutoa picha yenye mwanga,kila nikijipiga inatoka dark tuEbu weka picha
Khaa! Huu si ulikuwa ubaguzi wa wazi kabisa huu! Yaani kisa sina swaga au kwavile mtu pori!!!!Ila jaman nikwambie ukweli mwanzo nilikuwa siwez kuchit chat na wewe kumbe uko vizur
Shikamooo babu wick
Usihifu dadangu mpendwa... yaani akija cha-ufitinishi Malcom Lumumba atafahamu tu kafanya nini!!!Kafanyaje tena kaka
Angalia usije amkia kigamboni!..Hahaha jaman kwa nilivyolewa hata sielewi comment
weekend kama hizi usipozitumia unaweza kuja changanyikiwa uzeeni bure![emoji23]TOBAAAAAAA!!! Mkuu Malcom Lumumba.... huyu Wick nilidhani na huku ni mwenzetu kumbe e bhana eh! Shikamoo mkuu Wick!
Hapo sasa mnara 4G wiki nzima naanzaje kutoka nje sasa!!..Sisahau bwana huwa nafanya maksudi
windhoek ndo nzuri kwako wewe!..Heineken babe
Hawa wateja wanataka niwapeleke kibamba, nisije chelewa rudi bure!..Ukitoka uko uje kunipitia
MhHawa wateja wanataka niwapeleke kibamba, nisije chelewa rudi bure!..