Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Hakuna mwanadam mwenye sura mbaya labda kama umemuumba wewe
 
boss shikamoo "' niazime ile Nissan navara yako nikapigie misele
Ina pancha tairi ya mbele, pitia kwa fundi mwambie akupe tube ya phoenix na spoku 3 chukua tuje funga hapa!..
 
Mwanaume lazima awe na sura ngumu.mkiongozana no mtu kukutania
 
Kila mtu aliumbwa kwa sura na mfano wa mungu. Naomba mtu anisaidie kuitafakari hii sentensi.

Hongera kwako msichana mzuri cha mdeko.
 
Ina pancha tairi ya mbele, pitia kwa fundi mwambie akupe tube ya phoenix na spoku 3 chukua tuje funga hapa!..
hahaaa spoke tena " hapana mkuu mimi siizungumzii ile pikipiki yako ya ml.12,aisee", nazungmzia ile navara boss nina appointment na Shunie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…