Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Wewe jamaa kama mimi.Huu uzi nilikua nauruka kila siku ngoja leo nipitie
Nilikuwa nauona naupita tu . Leo nikaona niufungue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa kama mimi.Huu uzi nilikua nauruka kila siku ngoja leo nipitie
Unaweza kukuta majina yetu yamepigiwa kura nyingi za "sura mbaya" halafu sisi tuko tunazubaa majukwaa mengineWewe jamaa kama mimi.
Nilikuwa nauona naupita tu . Leo nikaona niufungue
kiruuuuuu" ila demi hiyo avatar huwa inanitoa udele we acha tu"" na baki nalia na moyo wangu maana naogopa kutupiwa jiniMburaaah
Remmy ongala
Remmy ongala
Ila familia yake wapo vizuri. Kalimangona na wadoo zake na wajukuu wa Remi ongala ni visuu kuna vitoo vya kike kwenye ile familia ni hatariRemmy ongala
Ya kweli lakini hayo asemayo mdogo wako?Duuh! Nimecheka kwa sauti. Lol
Haya wahusika Mkuje uzi wenu huu leo ila mdogo wangu umejua kuwang'ata na kuwapuliza bana. [emoji23][emoji23]
Mke haongwi...mke analetewa mahitaji.Muonge mke wako kwan nan kakwambia utafute mchepuko
Ina pancha tairi ya mbele, pitia kwa fundi mwambie akupe tube ya phoenix na spoku 3 chukua tuje funga hapa!..boss shikamoo "' niazime ile Nissan navara yako nikapigie misele
usisahau sabuni ya unga na Maji kwenye beseni!..tuitafute panchaNakuja kuwasaidia
kabisaa ila nimekumiss mieeHata mm naona
naona utabasamuu na hizo lips mimi hoiii[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]