Ahahaaa! Kibaya kinatoka kiwandani hakizaliwi.Mbayaaaaa
Hawa wenye sura mbaya tunawazaa wenyewe na viapo juu moyoni kwamba tutawapa the very best we have as Mothers.
Hakuna mtoto mbaya kwa mzazi wake, na hakuna mwanamme mbaya mbele ya mwanamke ampendae.
Na hakuna aliye mbaya mbele ya Muumba wetu.
Double thumbs up.
But I'm still 'Ugly' AF.
Is ya man ugly? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Thanks.
Oh no you ain't. Don't get me started.😉😉😉
Never have been.
Is ya man ugly? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Just kidding, hope you're doing well...Refer to my first comment hun.
Alhamdulillah.Just kidding, hope you're doing well...
Alhamdullilah tooAlhamdulillah.
Hope you are fine too.
Tena wewe ndio kabisaa.hahaaaa " sasa sinina mpa kampani 'tu' ..au huniamini mpka Mimi ninja ...duuhh