Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Kati ya wote jf umemuona Shunie tu!?.. nakwambia hata hii baiskeli ya phoenix nilotaka kukupa umeikosa sasa!..
hahaaaa " sasa sinina mpa kampani 'tu' ..au huniamini mpka Mimi ninja ...duuhh
 
Hawa wenye sura mbaya tunawazaa wenyewe na viapo juu moyoni kwamba tutawapa the very best we have as Mothers.

Hakuna mtoto mbaya kwa mzazi wake, na hakuna mwanamme mbaya mbele ya mwanamke ampendae.

Na hakuna aliye mbaya mbele ya Muumba wetu.

Double thumbs up.

But I'm still 'Ugly' AF.
 
Back
Top Bottom