Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Hahahah usinifanyie hivyo
 
ngoja nikae kimya maana muda huu unaweza kuta bundi analia juu ya bati kumbe ni mzee baba Junior
 
Hata wanawake wenye kufanana sura na wazazi wao wa kiume wanasifa kama ulizotaja.
 
we unaambiwa I like 'unapokuja' unazidi kua mbaya!, hapo kwa english
sio nyie mnatupanga hadi kwa list na mijisura yetu!.
Hahahahah jaman wick mbn unanitoa kwenye reli
 
Sio haki kaka angu wewe una sura ya kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…