Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njoo tujadili na uyaone kwa karibu.. utayapenda tu!.Ngoja nije
Me sijawahi shika Dolari.hela zangu jero za vocha!.Hahaha ila mnamiliki madorali nyieee
Hahahah usinifanyie hivyoSiku nikitaka kuoa, barua nitoe mimi, mahari nilipe mimi! Gharama za harusi niingie mimi! Tukifika home, nyumba au chumba nipange au nijenge mimi! Gharama kuu za familia nigharamike mimi lakini pamoja na yote hayo bado tu sura nzuri nayo niwe nayo mimi!!! Eti dada Shunie, unadhani itakuwa haki hiyo?!
we unaambiwa I like 'unapokuja' unazidi kua mbaya!, hapo kwa englishWick jaman
ngoja nitafute nilopendezeshwa na 360° basi.Hahahaha naanzaje kwa mfano njoo pm unitumie picha sitaisambaza
Hata wanawake wenye kufanana sura na wazazi wao wa kiume wanasifa kama ulizotaja.Kwanza sifa walizobarikiwa:
Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.
Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"
Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh
Demiss mke wake Mshana.
Siku nikitaka kuoa, barua nitoe mimi, mahari nilipe mimi! Gharama za harusi niingie mimi! Tukifika home, nyumba au chumba nipange au nijenge mimi! Gharama kuu za familia nigharamike mimi lakini pamoja na yote hayo bado tu sura nzuri nayo niwe nayo mimi!!! Eti dada Shunie, unadhani itakuwa haki hiyo?!