Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah! Ukisikia ubaguzi ndo huo sasa! Mbona Babu Asprin humuogopi bhana!Khaaa nilikuwa nakuogopa etiii wewe mzeee
Dadeki, naona mmeanza kuparuana makende wenyewe kwa wenyewe! Habari hizi njema kwangu ziwafikie binamu zangu wooooooote ambao walitaka kuingizwa King na nyie watu... na hao ni:-
Shunie
Raynavero
Demiss
Eh binamu zangu wapendwa... watch out those 2 guys, ni mandege ngoma hayoo, hayafai kwa supu wala kwa nyama choma!!! Hata ukiyatupa barabarani, fisi mwenyewe anakimbia!
Atakupeleka ndugu yangu Malcom Lumumba ukalale sawa!..Hahahaha labda mchawi anichukue
sasa bado Babu au kawa ben10!?..Khaaa nilikuwa nakuogopa etiii wewe mzeee
Kuna mwenzako anasemaga ntawaweza tu.Hahahahaha hebu mniwacheee mm mtoto mbichi mkiniundia kamati akiii nitakimbia
hamna ongezea kama round 2 halafu rudi niuliza!.Hivi comment zangu zimelewa eeeh
[emoji23] [emoji23]Yupo sana ameenda mochwari
Hapa utatugusa wengi mkuuKwanza sifa walizobarikiwa:
Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.
Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"
Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh
Demiss mke wake Mshana.
WeeeeeeeeeAtakupeleka ndugu yangu Malcom Lumumba ukalale sawa!..
Ngoja Mac anakuja kufata hivyo hivyo na uzee wake!.Weekend ya leo jaman msaada nataka kwenda home sikumbuki njia