Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Wanaume wenye sura mbaya wanaongoza kuoa!

Dadeki, naona mmeanza kuparuana makende wenyewe kwa wenyewe! Habari hizi njema kwangu ziwafikie binamu zangu wooooooote ambao walitaka kuingizwa King na nyie watu... na hao ni:-
Shunie
Raynavero
Demiss

Eh binamu zangu wapendwa... watch out those 2 guys, ni mandege ngoma hayoo, hayafai kwa supu wala kwa nyama choma!!! Hata ukiyatupa barabarani, fisi mwenyewe anakimbia!

Teh teh teh,
Mindege ngoma si wewe na Wick ??? Mimi hili jukwaa ni mgeni kabisa lakini naambiwa ninyi ni wenyeji na mshapewa hadi miji kabisa...Wengine washaanza kuwaita ninyi makaka, eti Kaka Chige....Teh teh teh
 
Kwanza sifa walizobarikiwa:

Wengi wana akili na wasomi
Wana mapenzi ya dhati
Ndo wanaongoza kwa UTAJIRI
Wana penda kwa dhati sijui kwa sababu sura zinatisha hawajiamini.
Wanajua kuhongaa.
Siyo wabahili.
Ukipata mchumba wa hivi atataka kujulikana kwa kila mtu na sura lake libaya atataka uongozane naye kila sehemu uwiiiii.
Hawaringi hata kidogo.
Wanajituma sana kuanzia kazini mpaka kitandani.
Wanajua kupetpet mwanamke asikwambie mtu.

Nyongeza :
Ukute umeolewa na mwanaume mwenye sura mbaya alafu mfupi ana ndevu unaweza kuzani kibwengo inabidi ukienda kumtambulisha uanze na neno "SHEMEJI YENU HUYU KASOMA ANA PESAA MUONE HIVI HIVI TU YUKO VIZURI SANA"

Wanaume wa Jf wenye sura mbaya leo tupo pamoja eeeh

Demiss mke wake Mshana.
Hapa utatugusa wengi mkuu
 
Back
Top Bottom