Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Asante rafiki, ni wa dunia hii hii mkuu, shukran sana tuko pamoja
0

Madam S, wewe wa dunia hii kweli! Mwanamke gani unatema madini kama umeshushwa hivi! Umenifanya nikomenti leo. Keep it on busara zako ni somo kwetu
 
Write your reply...hahaha wanapitia mengi Sana ni kuomba mungu awape amani tu hata hivyo unaanzaje kuoa unakipato duni
 
Tunaridhika na vidogo walivyo navyo waume zetu hivyo tunafuraha tu.
 
Sio wanawake wote malimbukeni wa hela. Na pia sisi wanawake tunabadilikaga kulingana na mazingira.

Mfano una mwanamme ana kipato kidogo, ana akili za maendeleo, anakupenda, kukujali na kukuheshimu, anakushirikisha katika budget ya nyumba yenu etc why uruhusu hela iwe ni kikwazo katika maisha yenu.

Sasa umkute mume mwenyewe ni Konki liquidi, deile anapiga maji na kurudi home kalewa hana mia mfukoni, asubuhi ni wale wa fanya mpango mke wangu. Hajali familia, uhuni humo humo. Panaanza kukalikaje kwa mfano? Na kichapo utachezea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unawajua wanawake wewe au unawasikia?Wape vyote hivyo halafu uone kama kweli nyumba yako itakuwa na hiyo furaha unayoiwaza..
 
Sio wanawake wote malimbukeni wa hela. Na pia sisi wanawake tunabadilikaga kulingana na mazingira.

Mfano una mwanamme ana kipato kidogo, ana akili za maendeleo, anakupenda, kukujali na kukuheshimu, anakushirikisha katika budget ya nyumba yenu etc why uruhusu hela iwe ni kikwazo katika maisha yenu.

Sasa umkute mume mwenyewe ni Konki liquidi, deile anapiga maji na kurudi home kalewa hana mia mfukoni, asubuhi ni wale wa fanya mpango mke wangu. Hajali familia, uhuni humo humo. Panaanza kukalikaje kwa mfano? Na kichapo utachezea.
Naam
 
Back
Top Bottom