Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Pesa sabuni ya roho.

Ila mazee acheni utani bhana..hawa watoto wanapenda pesa. (Sawa na sisi tunazipenda)

Ukiwa huna chako hata kuoa unanyanyapaliwa. Uzuri kuna kila "price" la sivyo yangekuwa mengine.

Kweli noma sana mkuu.

Hapo kwenye "price" panaokoa wengi
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!


ona wanawake walivyokua complicated... listi ndefuu utafikiri nini ...wanaume sisi njoo na bia , lala uchi ...kazi imekwisha...
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Wambie watoto wa mama furaha yetu so pesa.
Mifukoni siyo njema lakini tunapeta.

Peace kwa wanangu wanoishi chini ya dola Moja.

Nenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ni muhimu ila haiwezi kununua furaha,Ndiyo maana unakuta tajiri mkubwa mkewe anachepuka na gadena
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Tunapata sana taabu
Kusema kweli sisi tusio na PESA ndoa zetu ngumu sana jamani
Mm nadandia daladala na mke anadandia daladala
Tunarudi jioni kutoka ktk kutafuta wote tumechoka sana,hapo tendo la ndoa hadi weekends!
Daah inauma sana
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Kumbuka, ili uweze kumudu hayo yote lazima ukose muda wa kuwa naye. Huo muda unadhani anakua wapi????

Mwanamke anahitaji muda wako wewe mkuu. Akikupenda hata kwa chumvi atanenepa. Kikubwa muda wako tu
 
Tunapata sana taabu
Kusema kweli sisi tusio na PESA ndoa zetu ngumu sana jamani
Mm nadandia daladala na mke anadandia daladala
Tunarudi jioni kutoka ktk kutafuta wote tumechoka sana,hapo tendo la ndoa hadi weekends!
Daah inauma sana
Kila mtu anayaogopa majogoo....
 
Watz hatupendi kufanya utafiti. Lakini kiukweli ungeaanza kwa kutafiti kwanza wazazi wako au wajomba na mashangazi zako. Ungepata jibu la swali lako.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sio wanawake wote malimbukeni wa hela. Na pia sisi wanawake tunabadilikaga kulingana na mazingira.

Mfano una mwanamme ana kipato kidogo, ana akili za maendeleo, anakupenda, kukujali na kukuheshimu, anakushirikisha katika budget ya nyumba yenu etc why uruhusu hela iwe ni kikwazo katika maisha yenu.

Sasa umkute mume mwenyewe ni Konki liquidi, deile anapiga maji na kurudi home kalewa hana mia mfukoni, asubuhi ni wale wa fanya mpango mke wangu. Hajali familia, uhuni humo humo. Panaanza kukalikaje kwa mfano? Na kichapo utachezea.
Kumbe wakati mwingine unakuwa na akili kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Kwa nyama za ulimi.

Umewahi kusikia kisa chake?
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Mwanamke mhogo wa jang'ombe.
 
0
kwa uelewa wangu

Mume ni kama mtoto, akishaoa yeye ndio hua juu ya mke na s mke kuamua anavyotaka, mume ni mapenzi na jinsi ya kuishi naye tu halaf wanawake tutambue na uwezo wa wanaume zetu, mume akakope akuridhishe ww mwisho wa siku aumize kichwa kukutaftia kula kukuvisha na mahitaji mengine unampa mzigo ambao mlipaswa muubebe pamoja

Kabla mume wangu hajanioa ninaelewa kipato chake na kaz anayofanya hata kama atakua anaingiza millioni ipo siku pesa hazitakua zinakuja kwa mtiririko huo lazima kuna kupata na kukosa kama mkewe lazima nimfariji wakat wote na s kumpa presha ka hizo

Hiyo ndoa ni ngumu na maisha yake ni mafupu kama njiti ya kiberiti kama mkewe atakua hivo au hajapelekwa kwa somo akafundishwa??

Madam S, wewe wa dunia hii kweli! Mwanamke gani unatema madini kama umeshushwa hivi! Umenifanya nikomenti leo. Keep it on busara zako ni somo kwetu
 
Back
Top Bottom