Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Asante rafiki, ni wa dunia hii hii mkuu, shukran sana tuko pamoja
0


Madam S, wewe wa dunia hii kweli! Mwanamke gani unatema madini kama umeshushwa hivi! Umenifanya nikomenti leo. Keep it on busara zako ni somo kwetu
 
Write your reply...hahaha wanapitia mengi Sana ni kuomba mungu awape amani tu hata hivyo unaanzaje kuoa unakipato duni
 
Tunaridhika na vidogo walivyo navyo waume zetu hivyo tunafuraha tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unawajua wanawake wewe au unawasikia?Wape vyote hivyo halafu uone kama kweli nyumba yako itakuwa na hiyo furaha unayoiwaza..
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…