Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Sawa sawa.

Unakuwa na mwanamme anamipango mizuri ya kimaendeleo halafu mipango haifanikiwi.[binadamu wengi wapo hapa duniani]

Mipango mizuri ila wapi...vumilia mke wangu ipo siku tutafanikiwa. Siku gani wewe mwanamme kila siku maneno yale yale..ona jirani yetu ndoa yao haina hata miaka kumi..mke anaendesha mme anaendesha. Nimechoka kwa kweli nimechoka.

Mwanamke mwenye upeo wa kuelewa hiyo mipango yako hapigi mikelele hiyo. A smart woman even goes through the proposal anai edit ama anakupa wazo totally different but very potential.
 
Tunafanya miradi ili kusaidia waume zetu. Miradi yetu haihitaji mitaji mikubwa. Uji wa ulezi au wa mchele, makande au chapati. Tena tunaishi kwa amani.
What a wise word from a wife material hapa.
And hiki ndiko wanawake wenye busara wanacho. Sitegem kumpata mwanamke mwenye akili hii kutoka kwa.slay queens

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sawa.

Unakuwa na mwanamme anamipango mizuri ya kimaendeleo halafu mipango haifanikiwi.[binadamu wengi wapo hapa duniani]

Mipango mizuri ila wapi...vumilia mke wangu ipo siku tutafanikiwa. Siku gani wewe mwanamme kila siku maneno yale yale..ona jirani yetu ndoa yao haina hata miaka kumi..mke anaendesha mme anaendesha. Nimechoka kwa kweli nimechoka.

Ukiona mwanamke anakulinganisha na mtu mwingine jitafakari
 
Inaonyesha Wa kwako usipompa hayo mahitaji atakukimbia na atahamia kwa wenye uwezo Wa kumtimizia hayo. Kwa ushauri tu huyo umeoa gubegube siyo mke huyo,hivyo mkimbie fasta
 
na kama si kuhama nazani ningeingia mtegoni,,mke alishaanza ishara za kutaka nimfukunyue
Mungu atuepushie madhila haya, ni dhambi sana kuzini ukiwa na ndoa yak halaf mtu kama humtaki unaachana naye tu kwa amani kabla hamjafika mbali
 
Sio wanawake wote malimbukeni wa hela. Na pia sisi wanawake tunabadilikaga kulingana na mazingira.

Mfano una mwanamme ana kipato kidogo, ana akili za maendeleo, anakupenda, kukujali na kukuheshimu, anakushirikisha katika budget ya nyumba yenu etc why uruhusu hela iwe ni kikwazo katika maisha yenu.

Sasa umkute mume mwenyewe ni Konki liquidi, deile anapiga maji na kurudi home kalewa hana mia mfukoni, asubuhi ni wale wa fanya mpango mke wangu. Hajali familia, uhuni humo humo. Panaanza kukalikaje kwa mfano? Na kichapo utachezea.
NIMEAMINI KWELI UMEKUJA KIVINGINE KABISA HUU MWAKA 2019.

BIG UP SANA MKUU KUCHANGIA WAZO BORA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom